Jumahamad
@juma_k_hamad
Deputy Shadow Minister Home Affairs @ACTBarazaKivuli
ID: 1216611507154362368
13-01-2020 06:42:59
2,2K Tweet
2,2K Followers
2,2K Following
Hotuba ya Kuongozi wa ACTWazalendo, Ndugu Dorothy Semu itarushwa mubashara kupitia online Tv zifuatazo. 👉🏿ACTMedia 👉🏿Mwanahalisi Tv 👉🏿Jambo Tv 👉🏿Global Tv Usiache kufuatilia. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili
"ACTWazalendo kusimamisha wagombea katika mitaa, vijiji na vitongoji vyote nchini. Tunapambana huku tukishiriki uchaguzi." Naibu Katibu Mwenezi shangwe Ayo #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Pongezi kwa Wakili Msomi Emmanuel L. Mvula kwa kuteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Maadili Taifa. Uteuzi wake umethibitishwa na Halmashauri Kuu ya Taifa iliyoketi katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo kwenye Jengo la Maalim Seif Magomeni DSM. #Miezi10 #WanachamaMilioni10
Huyu ndio Ndugu Omar Ali Shehe, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili ACTWazalendo
Huyu ndio Ndugu Omar Ali Shehe, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili ACTWazalendo
Kwa mara ya kwanza leo nikiwa Naibu katibu mkuu Chama cha ACTWazalendo Zanzibar nimepokea na kuzungumza machache.
Nimeahidi nikiwa Naibu katibu mkuu wa Chama cha ACTWazalendo Zanzibar kufanya kazi muda wote kuhakikisha tunakiondoa chama cha Chama Cha Mapinduzi madarakani.
Ahsante kwa utumishi wako uliotukuka. ACTWazalendo #AhsanteBabuDuni #TaifaLaWote #MaslahiYaWote #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili
Hii ndio gari ambayo ACTWazalendo imempa Mwenyekiti Mstaafu, Ndugu Babu Duni. #AhsanteBabuDuni
"Hatuogopi kufikishwa mahakamani sakata la raia kuhamishwa kwa nguvu Kaliua." Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria Maharagande Mbarala #TaifaLaWote #MaslahiYaWote ACTWazalendo
Wasifu wa Juma Duni Haji Ally Saleh 'Alberto' Democracy is commitment Si rahisi kwa usiku mmoja kwa mtu yeyote yule kuweza kuandika na kuwasilisha kwa ufasaha wasifu wa mtu, na mtu mwenye ni mwanasiasa, mwalimu, mtu wa watu, mtu mwenye ushawishi, mwenye haiba na ambaye amejaa ndani ya
Jana Jumatano Septemba 04, 2024, nilipata fursa ya kushiriki pamoja na Viongozi Wakuu, Watendaji, Wanachama, Wapenzi na Wafuasi wa Chama chetu cha ACTWazalendo, katika Hafla ya Kusherehekea Maisha na Utumishi wa Mwenyekiti wetu Mstaafu, Ndugu Juma Duni Haji, katika Ukumbi wa
Naaam! Ni kesho! Kuna nini? Macho na masikio yote yaelekezwe Golden Tulip Hotel, Zanzibar. Mwenyekiti wa Chama Othman Masoud Othman ataunguruma. #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili
Kesho Septemba 06, 2024 Mwenyekiti wa ACTWazalendo Taifa, Ndugu Othman Masoud Othman atazungumza na waandishi wa habari. Muda: Saa 3:00 Asubuhi Mahala: Golden Tulip Hotel Zanzibar #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili
TUKUTANE MAHAKAMANI. Hongera sana wanasheria wetu wakiongozwa na naibu mwanasheria mkuu Bonifasia Mapunda . Katika mazingira ambapo watu walioshiriki jinai ya uchaguzi wa mwaka 2019&2020 wanapata ujasiri wa kutoka hadharani na kutoa ushuhuda ,kesi hii ni muhimu sana.
Kesho Septemba 06, 2024 Mwenyekiti wa ACTWazalendo Taifa, Ndugu Othman Masoud Othman atazungumza na waandishi wa habari. Muda: Saa 3:00 Asubuhi Mahala: Golden Tulip Hotel Zanzibar #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili