Jumahamad (@juma_k_hamad) 's Twitter Profile
Jumahamad

@juma_k_hamad

Deputy Shadow Minister Home Affairs @ACTBarazaKivuli

ID: 1216611507154362368

calendar_today13-01-2020 06:42:59

2,2K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

Hotuba ya Kuongozi wa ACTWazalendo, Ndugu Dorothy Semu itarushwa mubashara kupitia online Tv zifuatazo. 👉🏿ACTMedia 👉🏿Mwanahalisi Tv 👉🏿Jambo Tv 👉🏿Global Tv Usiache kufuatilia. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili

Hotuba ya Kuongozi wa ACTWazalendo, Ndugu Dorothy Semu itarushwa mubashara kupitia online Tv zifuatazo.

👉🏿ACTMedia
👉🏿Mwanahalisi Tv
👉🏿Jambo Tv
👉🏿Global Tv

Usiache kufuatilia.

#TaifaLaWote #MaslahiYaWote #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili
Jumahamad (@juma_k_hamad) 's Twitter Profile Photo

"ACTWazalendo kusimamisha wagombea katika mitaa, vijiji na vitongoji vyote nchini. Tunapambana huku tukishiriki uchaguzi." Naibu Katibu Mwenezi shangwe Ayo #TaifaLaWote #MaslahiYaWote

"ACTWazalendo kusimamisha wagombea katika mitaa, vijiji na vitongoji vyote nchini. Tunapambana huku tukishiriki uchaguzi."

Naibu Katibu Mwenezi
shangwe Ayo

#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

Pongezi kwa Wakili Msomi Emmanuel L. Mvula kwa kuteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Maadili Taifa. Uteuzi wake umethibitishwa na Halmashauri Kuu ya Taifa iliyoketi katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo kwenye Jengo la Maalim Seif Magomeni DSM. #Miezi10 #WanachamaMilioni10

Pongezi kwa Wakili Msomi Emmanuel L. Mvula kwa kuteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Maadili Taifa. Uteuzi wake umethibitishwa na Halmashauri Kuu ya Taifa iliyoketi katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo kwenye Jengo la Maalim Seif Magomeni DSM.

#Miezi10 #WanachamaMilioni10
ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

Huyu ni Mtumishi wa watu anayechochewa na nia ya kujenga matokeo chanya katika maisha ya wengine. #BintiMzalendo #TaifaLaWote #MaslahiYaWote

Huyu ni Mtumishi wa watu anayechochewa na nia ya kujenga matokeo chanya katika maisha ya wengine.

#BintiMzalendo
#TaifaLaWote
#MaslahiYaWote
Jumahamad (@juma_k_hamad) 's Twitter Profile Photo

Huyu ndio Ndugu Omar Ali Shehe, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili ACTWazalendo

Huyu ndio Ndugu Omar Ali Shehe, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar.

#TaifaLaWote #MaslahiYaWote #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili

ACTWazalendo
Othman Masoud Othman (@othmasoud) 's Twitter Profile Photo

Jumanne Septemba 03, 2024, nilipata fursa ya kukutana na kufanya mazungumzo, na Ujumbe wa Daktari-Bingwa wa Upasuaji Moyo Ulimwenguni, Profesa William Novick, kutoka Nchini Marekani. Ujumbe huo umefika katika Ofisi yetu ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Migombani Mkoa wa

Jumanne Septemba 03, 2024, nilipata fursa ya kukutana na kufanya mazungumzo, na Ujumbe wa Daktari-Bingwa wa Upasuaji Moyo Ulimwenguni, Profesa William Novick, kutoka Nchini Marekani.

Ujumbe huo umefika katika Ofisi yetu ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Migombani Mkoa wa
Jumahamad (@juma_k_hamad) 's Twitter Profile Photo

"Hatuogopi kufikishwa mahakamani sakata la raia kuhamishwa kwa nguvu Kaliua." Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria Maharagande Mbarala #TaifaLaWote #MaslahiYaWote ACTWazalendo

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Wasifu wa Juma Duni Haji Ally Saleh 'Alberto' Democracy is commitment Si rahisi kwa usiku mmoja kwa mtu yeyote yule kuweza kuandika na kuwasilisha kwa ufasaha wasifu wa mtu, na mtu mwenye ni mwanasiasa, mwalimu, mtu wa watu, mtu mwenye ushawishi, mwenye haiba na ambaye amejaa ndani ya

Wasifu wa Juma Duni Haji

Ally Saleh 'Alberto' Democracy is commitment

Si rahisi kwa usiku mmoja kwa mtu yeyote yule kuweza kuandika na kuwasilisha kwa ufasaha wasifu wa mtu, na mtu mwenye ni mwanasiasa, mwalimu, mtu wa watu, mtu mwenye ushawishi, mwenye haiba na ambaye amejaa ndani ya
Othman Masoud Othman (@othmasoud) 's Twitter Profile Photo

Jana Jumatano Septemba 04, 2024, nilipata fursa ya kushiriki pamoja na Viongozi Wakuu, Watendaji, Wanachama, Wapenzi na Wafuasi wa Chama chetu cha ACTWazalendo, katika Hafla ya Kusherehekea Maisha na Utumishi wa Mwenyekiti wetu Mstaafu, Ndugu Juma Duni Haji, katika Ukumbi wa

Ado Shaibu (@adoshaibu) 's Twitter Profile Photo

Naaam! Ni kesho! Kuna nini? Macho na masikio yote yaelekezwe Golden Tulip Hotel, Zanzibar. Mwenyekiti wa Chama Othman Masoud Othman ataunguruma. #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili

Naaam! Ni kesho! Kuna nini?
Macho na masikio yote yaelekezwe Golden Tulip Hotel, Zanzibar. Mwenyekiti wa Chama Othman Masoud Othman ataunguruma.
#ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili
ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

Kesho Septemba 06, 2024 Mwenyekiti wa ACTWazalendo Taifa, Ndugu Othman Masoud Othman atazungumza na waandishi wa habari. Muda: Saa 3:00 Asubuhi Mahala: Golden Tulip Hotel Zanzibar #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili

Kesho Septemba 06, 2024 Mwenyekiti wa ACTWazalendo Taifa, Ndugu Othman Masoud Othman atazungumza na waandishi wa habari.

Muda: Saa 3:00 Asubuhi
Mahala: Golden Tulip Hotel Zanzibar

#ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili
Isihaka Mchinjita (@mchinjitair) 's Twitter Profile Photo

TUKUTANE MAHAKAMANI. Hongera sana wanasheria wetu wakiongozwa na naibu mwanasheria mkuu Bonifasia Mapunda . Katika mazingira ambapo watu walioshiriki jinai ya uchaguzi wa mwaka 2019&2020 wanapata ujasiri wa kutoka hadharani na kutoa ushuhuda ,kesi hii ni muhimu sana.