Johnbest Mwahaja (@johniezebest) 's Twitter Profile
Johnbest Mwahaja

@johniezebest

Procurement & Finance Person | Content Creator | #Upendoโ™ฅ๏ธ |
Mtoto Wa Mama Johnie | #MrUnknownCode | Captain Ramos ยฉ๏ธ

ID: 737161227017846784

calendar_today30-05-2016 05:58:27

181,181K Tweet

55,55K Followers

2,2K Following

AzamPesa (@azampesa) 's Twitter Profile Photo

Johnbest kwema ndugu yangu? Sasa, AzamPesa tuko nchi nzima. Yani sasa hivi ukiwa mkoa wowote ule, - Unatuma pesa bure AzamPesa - AzamPesa - Unatuma na kupokea pesa kutoka kwa mitandao mingine - Unalipa bili zote (LUKU, MAJI, KING'AMUZI n.k Tupo kona zote! #JiokoeNaAzamPesa

Johnbest Mwahaja (@johniezebest) 's Twitter Profile Photo

Kila siku ni nafasi mpya ya kushukuru kwa rehema za Mungu. Ijumaa hii, tunapaswa kumtukuza kwa sababu ya uaminifu wake usiokoma. - Jumaa Kareem ๐Ÿ™

๏ฃฟ ๐Š๐ข๐๐ฎ๐๐ฎ ๐Œ๐ญ๐ฎ ๐‰๐‘โ„ข (@anuskills3) 's Twitter Profile Photo

๐—จ๐˜€๐—ถ๐—ท๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐—ฆ๐˜„๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐—ฏ๐—ฎ, sisi tukakudhamini! ๐Ÿค๐Ÿพ Kwanini upoteze Mchongo wa ndoto yako wakati CRDB ipo? Kupitia ๐‘ฉ๐’‚๐’๐’Œ ๐‘ฎ๐’–๐’‚๐’“๐’‚๐’๐’•๐’†๐’†, tunabeba dhamana ya tenda yako na kuongeza uaminifu kwa wateja wako! Emmanuel Ngallah, CEO wa Web Corporation Ltd, anatusimulia

Fumbo Khan (@fumbokhanjr) 's Twitter Profile Photo

Guys naomba kuwasogezea fursa hii especially dereva bolt, ubber na wamiliki wote wa magari. Avanc Auto Gesi wanatukaribisha kwa ufunguji wa mfumo wa Gesi kwa gharama nafuu sana pia tunakagua na kutoa vibali kwa magari yanayo tumia mfumo wa gesi. Tucheck kwa namba hii 0758 9140

Guys naomba kuwasogezea fursa hii especially dereva bolt, ubber na wamiliki wote wa magari.

Avanc Auto Gesi wanatukaribisha kwa ufunguji wa mfumo wa Gesi kwa gharama nafuu sana pia tunakagua na kutoa vibali kwa magari yanayo tumia mfumo wa gesi.

Tucheck kwa namba hii 0758 9140
Johnbest Mwahaja (@johniezebest) 's Twitter Profile Photo

Karibu Blueprinttanzania ....' Wakiendelea na kampeni yao ya #MtejaNiMfalme wanakupa offer ya vitu vitatu muhimu. 1. Free Consultation 2. Free Delivery 3. Time Control Wanapatikana Mbezi Beach Tangi Bovu, ila unaweza wapigia kwa namba hizi 0754 444 010. #MtejaNiMfalme | ๐Ÿ‘‘

Fumbo Khan (@fumbokhanjr) 's Twitter Profile Photo

Piga mkwanja mrefu na Sportpesa. Leo nawasanua kuhusu Goal Rush na Sportpesa, Tabiri team ya Kwanza Kupata Goal na Goal litapatikana dakika ya ngapi? Chakufanya Bofya link hii bit.ly/SportPesa-BT-X4 jisajiri na kuweka pesa yako ili uweze kubashiri game zako.

Piga mkwanja mrefu na Sportpesa.

Leo nawasanua kuhusu Goal Rush na Sportpesa, Tabiri team ya Kwanza Kupata Goal na Goal litapatikana dakika ya ngapi?

Chakufanya Bofya link hii bit.ly/SportPesa-BT-X4 jisajiri na kuweka pesa yako ili uweze kubashiri game zako.
UNATanzania (@unatanzania) 's Twitter Profile Photo

Hey UNA Tanzania Family! ๐ŸŒ Get readyโ€”our epic climate resilience Documentary is about to drop! ๐Ÿš€ Are you up for a fun quiz and polls game? Let's dive into Climate Matters with a bang! ๐ŸŒฑ๐Ÿ”ฅ #ClimateAction #GetInvolved

Hey UNA Tanzania Family! ๐ŸŒ Get readyโ€”our epic climate resilience Documentary is about to drop! ๐Ÿš€ Are you up for a fun quiz and polls game? Let's dive into Climate Matters with a bang! ๐ŸŒฑ๐Ÿ”ฅ #ClimateAction #GetInvolved
iHumphreys (@ihumphreyz) 's Twitter Profile Photo

Mimi nimetokana na Mungu, na uzima wa Mungu unafanya kazi ndani yangu, SITAPOTEA! "Kwa maana kila kitu kilichozaliwa na Mungu huushinda ulimwengu; na huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu, hiyo imani yetu." 1 Yohana 5:4 Asema BWANA!

๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Wakuu ndio natoka Msikitin- Khutbah ilikua kali saana leo๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ "Mzinifu mwanamke na mzinifu mwanamume, mpigeni kila mmoja katika wao mijeledi mia. Wala isiwashike kwa ajili yao huruma katika hukumu hii ya Mwenyezi Mungu ikiwa nyinyi mnamuamini." (24:2)

#TajiriLaKihaya 

Wakuu ndio natoka Msikitin- Khutbah ilikua kali saana leo๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ

"Mzinifu mwanamke na mzinifu mwanamume, mpigeni kila mmoja katika wao mijeledi mia. Wala isiwashike kwa ajili yao huruma katika hukumu hii ya Mwenyezi Mungu ikiwa nyinyi mnamuamini." (24:2)
Google aka Gugo (@agmwasanga) 's Twitter Profile Photo

The same kwa mwanamke.. ukianza kuumwa omba sana Mama yako awe bado hai... Hii ikk kotekote.. wanawake wapo walio washenzi vilevile wanaume wapo walio washenzi... Cha muhimu ni kwamba kabla hujaoa/olewa... omba sana Mungu kuwa mwenza utakayekuwa naye awe na wewe mpaka mwisho

Johnbest Mwahaja (@johniezebest) 's Twitter Profile Photo

Frida Rottson anasema "NAPENDWA" kutoka kwenye EP yake ya Deni Limelipwa. Akitazama ukuu na neema nyingi alizopewa na Mungu ameamua kusema Anapendwa. Nawewe unaweza isikiliza kupitia YouTube kupitia Link hii hapa ๐Ÿ‘‡ youtu.be/lOP1oyeebtk?siโ€ฆ

S A B I S T A R (@sabi_blessed) 's Twitter Profile Photo

Chap kwa haraka mwanangu Joniโ€ฆ.yaan iyo namba save af itumie meseji kwa WhatsApp. Huku hauombwi hela ili usajiliwe kuwa wakala ๐Ÿ˜Ž