profile-img
John Nguti.

@JohnNgutiCDM

Human Rights Activist & Good Rule of Law/Member of CHADEMA Political Party.

calendar_today09-07-2021 17:21:06

1,1K Tweets

213 Followers

480 Following

John Nguti.(@JohnNgutiCDM) 's Twitter Profile Photo

Ni siku nyingine & wakat mwingine
namshukuru Mungu & watu wote mnaojitolea kupigania haki & usawa
kwenye Taifa letu. Mimi ni mzima wa
afya nimepokea salam nyingi & watu
wengi wakiofia ukimya wangu tokea
Watu wale walipojaribu kuniteka 12/03/24.
NIMERUD RASMI KUTETE TAIFA LANGU.

Ni siku nyingine & wakat mwingine namshukuru Mungu & watu wote mnaojitolea kupigania haki & usawa kwenye Taifa letu. Mimi ni mzima wa afya nimepokea salam nyingi & watu wengi wakiofia ukimya wangu tokea Watu wale walipojaribu kuniteka 12/03/24. NIMERUD RASMI KUTETE TAIFA LANGU.
account_circle