Joe Ndilla
@joendilla
ID: 1709932883446800384
05-10-2023 14:06:03
17 Tweet
24 Takipçi
32 Takip Edilen
Ahsante sana H.E mbelwa Kairuki Kairuki. Kwa pamoja, ni furaha na heshima kubwa kushiriki uandaaji wa tovuti hii ambayo itakuwa kiungo muhimu kwa nchi yetu na kutengeneza njia za fursa za kitaifa na kimataifa. Asante kwa uongozi wako wenye maono katika kuendesha mpango huu
Today’s @StaffsUni Business Awards entry is for Joe Ndilla - a social care and training company founder who’s now launched a social network for carers. He’s in the running in three categories. Read the nomination article here👇🏼 staffsbizawards.co.uk/innovation-awa…
Hongera sana Mwanadiaspora Joe Ndilla kwa hatua ya kushindanishwa katika tuzo ya Ubunifu ya Chuo Kikuu cha @StaffsUni. Huu ni uthibitisho kwamba vijana wakitanzania wanaweza kufanya mambo yenye manufaa kwa jamii wakifanya bidii na kuwekewa mazingira wezeshi. Ninakutakia kila la
Mwezi Julai 2024 itazinduliwa PORTAL maalum kwa ajili ya kutoa taarifa kwa umma wa Tanzania kuhusu fursa mpya zilizopo Nchini Uingereza na Ireland; na umma wa nchi hizo kuhusu fursa zilizopo Tanzania. Portal hiyo imeundwa na Ubalozi kwa kushirikiana na wanadiaspora Joe Ndilla na
Ahsante sana ubalozi wa Tanzania Uingereza na balozi wetu mbelwa Kairuki mwenye maono makubwa. Nina matumaini makubwa kwamba mradi huu shirikishi utaleta matunda kwa watanzania na wakazi wa Uingereza. Tanzania Link inaenda kufungua milango ya fursa kwa wote. #uchumiwadiplomasia🙏🏼