Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Hayati alitoa kauli hiyo Julai 22, 2020 mbele ya Viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( ) Wilaya ya Chato Mkoani Geita baada ya kumpa taarifa kuhusu ujenzi wa Ofisi nyingine za Taasisi hiyo wakati tayari kuna jengo wameshapewa

account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) imeeleza mpango wake wa kusimika Kinu cha Utafiti cha Nyuklia (Nuclear Research Reactor) kwa ajili ya utafiti, kufundishia na kuweka mazingira ya kuwa na Viwanda vya Dawa za kutibu Saratani (Radio-Pharmaceautical Industries)

TAEC imeeleza…

DAR: Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametembelea Kivuko cha Magogoni - Kigamboni na kusema “Nimekagua na nimejionea mwenyewe sehemu ya jengo la Abiria linahitaji maboresho na usafi, nimeona zile feni kwanza ikiwashwa unakimbia kwa lile vumbi lililopo, unaweza ukapata madhara…

Kutoka Jukwaa la Siasa ndani ya JamiiForums.com, Mdau anauliza ikitokea Umekuwa na Mamlaka ya kufanya maamuzi katika Serikali, utafanya nini katika Uchumi bila kuongeza Mzigo kwa Mwananchi?

Shiriki Mjadala jamii.app/UkipataMamlaka

#JamiiForums #JFStories #Governance…
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

MICHEZO: Baada ya Klabu ya ya Tanzania kutangaza kuachana na Kocha wake Mkuu, Abdelhak Benchikha kwa kile kilichoelezwa ameomba kuvunja Mkataba kutokana na matatizo ya kifamilia ikiwa ni Siku 156 (Miezi mitano) aliyodumu katika majukumu hayo, Benchikha amekuwa Mwalimu wa 9…

MICHEZO: Baada ya Klabu ya #Simba ya Tanzania kutangaza kuachana na Kocha wake Mkuu, Abdelhak Benchikha kwa kile kilichoelezwa ameomba kuvunja Mkataba kutokana na matatizo ya kifamilia ikiwa ni Siku 156 (Miezi mitano) aliyodumu katika majukumu hayo, Benchikha amekuwa Mwalimu wa 9…
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Ukaguzi wa CAG kwa mwaka 2022/23 katika Mfumo wa Maombi Mtandaoni (OAS) unaotumiwa na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) ulibaini kumbukumbu za waombaji 50 zenye jumla ya ada ya Tsh. 500,000 ambazo zilikuwa na namba za udhibiti zilizorudiwa (bili)

Hii inamaanisha, malipo kwa…

Ramani hii inaonesha jinsi Mchezaji wa alivyofunga goli la ushindi katika Fainali ya Copa del Rey 2014 dhidi ya

Mechi hiyo inayofahamika kwa jina la ilimalizika kwa Madrid kushinda magoli 2-1

Je, Mdau umemtambua mchezaji huyo ambaye mikimbio…

Ramani hii inaonesha jinsi Mchezaji wa #RealMadrid alivyofunga goli la ushindi katika Fainali ya Copa del Rey 2014 dhidi ya #FCBarcelona

Mechi hiyo inayofahamika kwa jina la #ElClásico ilimalizika kwa Madrid kushinda magoli 2-1

Je, Mdau umemtambua mchezaji huyo ambaye mikimbio…
account_circle
Save the Children Tanzania(@scitanzania) 's Twitter Profile Photo

Je, ni kweli Adhabu ya Viboko inasaidia kuongeza Nidhamu na Uelewa kwa Mtoto?
Ungana nasi katika Mjadala na WiLDAF Tanzania ambapo tutazungumza kuhusu Athari za Viboko kwa Watoto.
Ni Aprili 30, 2024 kuanzia Saa 12:00 jioni kupitia XSpaces ya Jamii Forums

Link jamii.app/SaveTheChildren

Je, ni kweli Adhabu ya Viboko inasaidia kuongeza Nidhamu na Uelewa kwa Mtoto?
Ungana nasi katika Mjadala na @WiLDAFTz ambapo tutazungumza kuhusu Athari za Viboko kwa Watoto.
Ni Aprili 30, 2024 kuanzia Saa 12:00 jioni kupitia XSpaces ya @JamiiForums

Link  jamii.app/SaveTheChildren
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Mdau wa JamiiForums.com anasema Mvua zinazoendelea zimesababisha hali imezidi kuwa mbaya eneo la Busunzu (Barabara Kuu ya Kigoma-Mwanza) kutokana na mmomonyoko na kuwa hatarishi na kusababisha usumbufu kwa wanaoishi au kupita maeneo hayo, hivyo ameshauri Serikali kuchukua…

BURKINA FASO: Baraza Kuu la Mawasiliano ( ) limetangaza kufungia Matangazo na vipindi vya Redio vya BBC Africa na kufuatia kurusha ripoti ya Shirika la Human Rights Watch inayolishutumu Jeshi kwa kufanya udhalilishaji kwa Raia

Hatua ya CSC pia inahusisha kusimamishwa kwa…

BURKINA FASO: Baraza Kuu la Mawasiliano (#CSC) limetangaza kufungia Matangazo na vipindi vya Redio vya BBC Africa na #VOA kufuatia kurusha ripoti ya Shirika la Human Rights Watch inayolishutumu Jeshi kwa kufanya udhalilishaji kwa Raia

Hatua ya CSC pia inahusisha kusimamishwa kwa…
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

KOREA KUSINI: Viwango vya Uzazi Nchini humo (ambavyo tayari ni vya chini kabisa Duniani) vimepungua tena, huku kukiwa na hofu ya 'kutoweka kwa Taifa'

Takwimu zimeonesha kulikuwa na upungufu wa 8% katika Viwango vya Uzazi Nchini humo Mwaka 2023 ikilinganishwa na 2022, huku…

Mdau ni movie gani inakufanya ukae mkao wa kula ukiisubiria kwa Mwaka 2024?

Taja jina la movie hiyo kwenye “comments”

Mjadala zaidi jamii.app/Movies2024

#JamiiForums #Entertainment
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Je, ni kweli Adhabu ya Viboko inasaidia kuongeza Nidhamu na Uelewa kwa Mtoto?

Ungana nasi katika Mjadala utakaoendeshwa na Shirika la Save The Children pamoja na WilDAF Tanzania ambapo watazungumza kuhusu Athari za Viboko katika Malezi ya Watoto ikiwemo maeneo ya Shule

Ni…

JamiiForums na Twaweza, wanakualika kutumia haki yako ya Kujieleza kupitia Msimu wa 4 wa Shindano la Stories of Change

Kwa kuzingatia Dhima ya 'Tanzania Tuitakayo', ni wakati wako wa kutoa mawazo na maoni bunifu ambayo yanaweza kutekelezeka na kuleta mabadiliko Nchini ndani ya…

account_circle
Dr. Norman Jonas(@NormanJonasMD) 's Twitter Profile Photo

⚠️ Saratani ya mlango wa kizazi ni changamoto inayogharimu maisha ya wanawake wengi.

🗓️Ungana nasi jioni pamoja na upate nafasi ya kupata elimu na kuuliza maswali kuhusu chanjo ya HPV.

➡️ Inayotolewa sasa bila malipo kwa mabinti wa miaka 9 hadi 14.

⚠️ Saratani ya mlango wa kizazi ni changamoto inayogharimu maisha ya wanawake wengi.

🗓️Ungana nasi jioni pamoja na #JamiiForums upate nafasi ya kupata elimu na kuuliza maswali kuhusu chanjo ya HPV.

➡️ Inayotolewa sasa bila malipo kwa mabinti wa miaka 9 hadi 14.
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

MNYAMA SIMBA AMTAFUNA AZAM FC, ATWAA KOMBE LA MAPINDUZI 2024

Goli pekee lililofungwa na Babacar Sarr dakika ya 77 limeiwezesha kutwaa Kombe la Muungano 2024 dhidi ya katika Fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex,

Simba ambayo imekuwa na…

MNYAMA SIMBA AMTAFUNA AZAM FC, ATWAA KOMBE LA MAPINDUZI 2024

Goli pekee lililofungwa na Babacar Sarr dakika ya 77 limeiwezesha #SimbaSC kutwaa Kombe la Muungano 2024 dhidi ya #AzamFC katika Fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, #Zanzibar

Simba ambayo imekuwa na…
account_circle
Tanzania Abroad TV(@AbroadTanzania) 's Twitter Profile Photo

We mbugila umeni block ukidhani Sita pata unachoandika! Wee Kalime bamia tu Mbutu huna ujualo kwenye mambo ya maandiko ya vitabu ! Mwaka fulan umeiba andiko langu JamiiForums
Nikalalamika hata makosa ya spelling nilokuwa nafanya amekopi yalivyo bila hata kujiridhisha!

Yaan…