Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profileg
Jambo TV

@Jambotv_

Independent News Source | WhatsApp+255767252999

ID:570641129

linkhttps://www.jambo.or.tz calendar_today04-05-2012 08:15:47

13,6K Tweets

902,8K Followers

69 Following

Follow People
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO:

Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2024 uliokuwa tayari umewasili Wilayani Ulanga mkoani Morogoro Aprili 24 kwa ajili ya kukagua, kuzindua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi mbalimbali katika Wilaya hiyo ulilazimika kusimama kwa zaidi ya saa moja baada ya maji ya mto Lulai

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Michezo ni sekta muhimu katika dunia ya sasa kwani hutoa ajira, huliingizia Taifa kodi za kutosha, hujenga afya ya jamii na ni nyenzo muhimu katika diplomasia ya Kimataifa kote duniani.

Sekta ya michezo inatajwa kuwa sekta ya kiuchumi inayokuwa kwa kasi sana duniani. Kwa nchi ya

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Chatanda, amewaonya wanasiasa wanaotumia majanga yatokanayo na mafuriko ya mvua kama fursa ya kufanya kampeni za kisiasa katika maeneo yao na badala yake amewataka watoe misaada kwa manusura.

Chatanda ametoa rai hiyo

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Chatanda, amewaonya wanasiasa wanaotumia majanga yatokanayo na mafuriko ya mvua kama fursa ya kufanya kampeni za kisiasa katika maeneo yao na badala yake amewataka watoe misaada kwa manusura. Chatanda ametoa rai hiyo
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Viongozi wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Tandahimba Newala Cooperative Union (TANECU Ltd) wametakiwa kuwaweka viongozi watakaoweza kuendesha viwanda vya kubangulia korosho ili kuleta tija kwa wakulima wa korosho.

Akizungumza Jumatano Aprili 24, 2024 kwenye mkutano mkuu wa 29 wa

Viongozi wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Tandahimba Newala Cooperative Union (TANECU Ltd) wametakiwa kuwaweka viongozi watakaoweza kuendesha viwanda vya kubangulia korosho ili kuleta tija kwa wakulima wa korosho. Akizungumza Jumatano Aprili 24, 2024 kwenye mkutano mkuu wa 29 wa
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO.

“Sasa hivi namna ilivyo umeme huu unatuchonganisha sana, kwa sababu unakuta umeme kwa diwani na mwenyekiti wa kijiji, lazima wawe wa mwisho kukatiwa maana yake hao ni rahisi kumwambia mkatarasi wapelekee, kuliko wananchi kukosa akapata diwani,”

Hayo yamesemwa

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Na Joel Maduka, Geita..

Wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Geita wameendelea kunufaika na mgawo wa runinga (televisheni) zinazotolewa na Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita Manjale Magambo katika viijiwe mbalimbali vya kahawa.

Na Joel Maduka, Geita.. Wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Geita wameendelea kunufaika na mgawo wa runinga (televisheni) zinazotolewa na Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita Manjale Magambo katika viijiwe mbalimbali vya kahawa.
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa Shilingi Bilioni 66 kwa ajili ya kuanza urejeshaji wa miundombinu ya barabara zilizoharibika nchini.

Fedha hizo tayari zimegawanywa kwa mameneja wa TANROADS mikoa yote iliyoathirika kwa ajili ya kufanya kazi kwa haraka usiku na

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa Shilingi Bilioni 66 kwa ajili ya kuanza urejeshaji wa miundombinu ya barabara zilizoharibika nchini. Fedha hizo tayari zimegawanywa kwa mameneja wa TANROADS mikoa yote iliyoathirika kwa ajili ya kufanya kazi kwa haraka usiku na
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO:
Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Dkt.Toba Nguvila amefanya ziara ya kushtukiza usiku wa manane katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala ili kuona Shughuli za kutibu wagonjwa zinavyoendelea katika Hospitali hiyo

Akiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala Dkt.

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO
“Utakuta kuna mechi imetangazwa, Simba na yanga inajulikana itachezwa siku 10 mbele, mtu amenunua kifurushi chake amejitangaza mitaani labda ana kibanda umiza chake na labda amenunua vinywaji, mtu ana baa watu wanaenda kuangalia mpira kwa sababu kile ni chanzo chake cha

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO:
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ametangaza kile kinachoitwa wiki ya Muungano kuelekea kilele cha miaka 60 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Akizungumza na wanahabari Jumatano Aprili 24, 2024 jijini Dar es Salaam, Chalamila amesema wiki hiyo maalum

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Kibaha, Pwani imefanya uchambuzi wa mfumo wa ukusanyaji wa mapato yatokanayo na machinjio ya Mtakuja iliyopo Halmashauri ya Mji Kibaha .

Akizungumza na waandishi wa habari Jumatano Aprili 24, 2024, Kaimu Kamanda

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Kibaha, Pwani imefanya uchambuzi wa mfumo wa ukusanyaji wa mapato yatokanayo na machinjio ya Mtakuja iliyopo Halmashauri ya Mji Kibaha . Akizungumza na waandishi wa habari Jumatano Aprili 24, 2024, Kaimu Kamanda
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

“Mradi huu (Mradi wa Rusumo) unahusisha uzalishaji wa umeme wa megawati 80 kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Kagera na umejengwa kwa ushirikiano wa nchi tatu za Tanzania, Burundi na Rwanda kwa mgawanyo sawa wa umeme kwa kila nchi. Mradi umekamilika na kuanza uzalishaji wa

“Mimi nataka kuwathibitishia vyanzo vya uhakika, yaani jua linavyopiga ardhini ‘square meter’ moja unapata kama balbu nne au tano za umeme”. Prof. Muhongo.

Hayo yamesemwa leo Jumatano April 24,2024 na Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM) Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesaini mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya Dola za Kimarekani elfu sabini sawa na Shilingi za Kitanzania Milioni mia moja sabini na tano, na Shirika la American Bar Association kutoka nchini Marekani ikiwa ni sehemu

Benki ya Dunia imeitaja Arusha na Kanda ya Kaskazini kwa ujumla kama eneo lililochangia sehemu kubwa ya mapato ya nchi ya Tanzania mwaka 2022/23 kwenye sekta ya utalii inayohusisha mbuga za wanyama

Ripoti hiyo ya Uchumi wa Kikanda inaonesha kuwa kuongoza kwa kanda ya kaskazini

Benki ya Dunia imeitaja Arusha na Kanda ya Kaskazini kwa ujumla kama eneo lililochangia sehemu kubwa ya mapato ya nchi ya Tanzania mwaka 2022/23 kwenye sekta ya utalii inayohusisha mbuga za wanyama Ripoti hiyo ya Uchumi wa Kikanda inaonesha kuwa kuongoza kwa kanda ya kaskazini
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Katika jitihada za kuendelea kukuza sekta ya utalii nchini Serikali imeendelea kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa hoteli kubwa ya kisasa ya nyota 3 inayojengwa wilayani Chato mkoani Geita lengo likiwa ni kuwapunguzia adha ya huduma watalii wanaofika katika ukanda huo.

Umoja wa Mataifa (UN) umetoa rai ya kufanyika uchunguzi huru na wa kuaminika kuhusu makaburi ya pamoja yaliyogunduliwa katika hospitali mbili kuu katika eneo la Gaza lililoharibiwa kwa mapigano ya vita baada ya kuvamiwa na wanajeshi wa Israel.

Ravina Shamdasani , msemaji wa

Umoja wa Mataifa (UN) umetoa rai ya kufanyika uchunguzi huru na wa kuaminika kuhusu makaburi ya pamoja yaliyogunduliwa katika hospitali mbili kuu katika eneo la Gaza lililoharibiwa kwa mapigano ya vita baada ya kuvamiwa na wanajeshi wa Israel. Ravina Shamdasani , msemaji wa
account_circle