Ishengoma Irene (@ishengomairene) 's Twitter Profile
Ishengoma Irene

@ishengomairene

I am a solution|Women Football Welfare #sokalawanawaketz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ|#AmaniHuanziaNyumbani|Online Safe Space| I work @globalpeacetz | Maisha Plus 2nd runner 2016.

ID: 898840196673875969

linkhttps://instagram.com/_ishengoma?igshid=YmMyMTA2M2Y= calendar_today19-08-2017 09:32:57

50,50K Tweet

18,18K Followers

2,2K Following

Idris (@idrissultan) 's Twitter Profile Photo

Acheni kutishia tu watu kuhusu motoni, wafundisheni watu ukubwa wa upendo wa Mwenyezi Mwungu. Hakuna anayekuzwa imani kwa vitisho, mnatengeneza tu watu wanaoogopa kufanya maovu sababu ya adhabu badala ya kuchukia ubaya wa maovu.

James Massawe (@massawejk) 's Twitter Profile Photo

Wanawake wajasiriamali wenye ulemavu wanastahili fursa sawa! Tuongeze nafasi zao za ushiriki kwenye majukwaa kama #NIKONEKT, kwa ujuzi na maarifa zaidi ili kuhakikisha hakuna anayeachwa nyuma.

Wanawake wajasiriamali wenye ulemavu wanastahili fursa sawa!

Tuongeze nafasi zao za ushiriki kwenye majukwaa kama #NIKONEKT, kwa ujuzi na maarifa zaidi ili kuhakikisha hakuna anayeachwa nyuma.
Lydia Charles (@lydiacharles_) 's Twitter Profile Photo

Kama wadau wa uongozi kwa wanawake vijana tunafuraha kuwa sehemu ya utekelezaji wa mradi wa #USAIDWanawakeSasa kuhakikisha wanawake na wasichana wanapata haki ya kushiriki katika uongozi na michakato ya demokrasia tukitekeleza pamoja na WiLDAF Tanzania Jamii Forums

Ukhty ู‡ูุจูŽุฉ ๐ŸŒป (@habebty_hebah) 's Twitter Profile Photo

Natamani niuze hata figo ili niweza kutimiza ndoto za mdogo angu Nili saidiwa na rafiki wa X tukalipa Ada ya muhura mmoja Jana karudi home na barua inatakiwa ada ya muhura wa pili ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ Nalia kama kichaa yuko kidato cha Nne kafukuzwa Ada... UMASIKINI sio mzuri.

viola julius (@vwalaviola) 's Twitter Profile Photo

Tola wadogo tunapanda miti mashuleni, je miti hii Iko wapi kwa sasa? Unagundua kuwa hakuna muendelezo na ufuatiliaji wa miradi hii #PolicyForumBreakfastDebate

LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

Brooo achana na hizo title za MD, CEO, FOUNDER!!! Tafuta hela position zitakuja zenyewe kwa WAKATI wake! Hizo title bila HESHIMA ni sawa na Bure! Endelea kuwa na matamanio hayo, huku ukiweka bidii zaidi. Kuna siku hizo title zitajileta zenyewe na utataka kuzikimbia. TRUST THE

viola julius (@vwalaviola) 's Twitter Profile Photo

"Vyombo vya habari na media house tayari zina gender policy lakini changamoto ni kwamba bado zimefungiwa kabatini, (Hazifuatwi) kuna kazi ya ziada ya kufanya" Neville Meena. . UNESCO Dar es Salaam #Literacy4GenderEquality #UsawawaKijinsia

"Vyombo vya habari na media house tayari zina gender policy lakini changamoto ni kwamba bado zimefungiwa kabatini, (Hazifuatwi) kuna kazi ya ziada ya kufanya" Neville Meena.

UNESCO Dar es Salaam

#Literacy4GenderEquality #UsawawaKijinsia
January Makamba (@jmakamba) 's Twitter Profile Photo

New job: assembling furniture at my daughterโ€™s room at her university hostel. Iโ€™m a proud Dad to a new medical student. A GenZ, she has clarity of purpose than I had at similar age - and way better person than I can ever dream of being. Raising her is my source of joy, pride and

Siraji kahiyuzi akili ๐ŸŸ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@kahiyuzi3) 's Twitter Profile Photo

Samaki ninazo uza ni hizo hapo mm sio tapeli Bei yake ni shilingi laki 357000 ni kilo 21 kila kilo ni shilling elfu 17000 ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Samaki ninazo uza ni hizo hapo mm sio tapeli Bei yake ni shilingi laki 357000 ni kilo 21 kila kilo ni shilling elfu 17000 ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Idris (@idrissultan) 's Twitter Profile Photo

Naomba nimjue huyu, mwenye hii bajaji apate hata full tank,. Bando la internet vodacom la mwaka mzima, Guinness kreti tano, Expido carton nzima, nimfungulie bank account Exim nimuwekee laki mbili na nitume afuatwe na Toyota harrier Hybrid ikiwa na dereva apelekwe popote anapotaka

Ishengoma Irene (@ishengomairene) 's Twitter Profile Photo

Ni jioni ya leo katika viunga vya Nafasi Art Space; Taasisi ya her_education_foundation itafanya Uzinduzi wa filamu ya NAFASI, iliyosheheni uhalisia na mafunzo mengi kwa jamii kuhusu mabinti waliobeba mimba wakiwa shuleni. Usikose๐ŸŽŠ๐Ÿฅณ๐Ÿ”ฅ ๐‡๐ž๐ฅ๐ฅ๐ž๐ง ๐’๐ข๐ฌ๐ฒ๐š #HerEducation #ArudiShule #Tanzania

Ni jioni ya leo katika viunga vya Nafasi Art Space; Taasisi ya her_education_foundation itafanya Uzinduzi wa filamu ya NAFASI, iliyosheheni uhalisia na mafunzo mengi kwa jamii kuhusu mabinti waliobeba mimba wakiwa shuleni.

Usikose๐ŸŽŠ๐Ÿฅณ๐Ÿ”ฅ ๐‡๐ž๐ฅ๐ฅ๐ž๐ง ๐’๐ข๐ฌ๐ฒ๐š
#HerEducation #ArudiShule #Tanzania
๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Wakuu Ukhty ู‡ูุจูŽุฉ ๐ŸŒป sio TAPELI na wala mm leo sijakurupuka kumchangiaโ€ฆ Tulianza kuchat nae Toka JULY mwaka huuโ€ฆ lakini nlimpuuza kama kawaida yangu huwa na ignore 1st messages Maana wengi huwa waongo saana! Ila alionesha consistent saana ya kunitext almost

#TajiriLaKihaya

Wakuu Ukhty ู‡ูุจูŽุฉ ๐ŸŒป  sio TAPELI na wala mm leo sijakurupuka kumchangiaโ€ฆ

Tulianza kuchat nae Toka JULY mwaka huuโ€ฆ lakini nlimpuuza kama kawaida yangu huwa na ignore 1st messages Maana wengi huwa waongo saana!

Ila alionesha consistent saana ya kunitext almost