Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile
Martin Maranja Masese

@iamartin_

Full-time Father | Sperm That Won The Race | Public Spirited | Think Deep, Don’t Sink | Cogito, ergo sum |

ID: 126657061

calendar_today26-03-2010 15:32:42

148,148K Tweet

590,590K Followers

1,1K Following

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

MOSHI - SOKO LA MANYEMA, CHADEMA tumekusanya #ToneTone kiasi cha Tsh. 1,095,000/-….MSAJILI USITUTISHE.. huwezi kamwe kutupangia safu ya viongozi wa chama chetu.. RUZUKU ya kiwaki HATUTAKI. Angusha TONE lako hapo kupitia 0744446969; Jina - CHADEMA HQ. People’s Power. 👊🏾

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

MaCCM yamekutana na kufanya reforms katika katiba ya chama chao. Maana yake katiba yao inahitaji marekebisho kutokana na nyakati na mazingira. Lakini MaCCM hayataki kufanya reforms za sheria na kanuni za uchaguzi kutokana na nyakati na mazingira yaliyopo. MaCCM ni MAVAMPAYA.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Barabara ya Moshi - Mwanga - Same. Pamoja na kwamba inawezekana imejengwa chini ya kiwango (labda) lakini haina matunzo na haifanyiwi matengenezo (maintenance). Hizi potholes ni sababu za ajali nyingi. Serikali ya CCM inaweza kufanya kitu gani kwa usahihi? Kupora uchaguzi?

Kesho, CHADEMA tutakuwa Muheza - Tanga. Gari la matangazo limepita siku nzima leo hadi usiku huu likitangaza mkutano huo. Baada ya kumaliza, gari la Halmashauri ya Wilaya ya Muheza linapita kutangaza uchangiaji damu katika eneo ambalo mkutano wa CHADEMA umepangwa kufanyika.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Leo, CHADEMA tunahitimisha oparesheni #NoReformsNoElection katika Kanda ya Kaskazini (Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Tanga) kwa timu zote mbili kukutana Tanga Mjini katika mkutano wa Jioni. Watu wa Korogwe, Muheza, Tanga Mjini karibuni msikilize viongozi wa chama chenu.

Hapa ni Korogwe, mvua imenyesha tani laki tatu…. Lakini wananchi wamebaki wanamsikiliza Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche akiwaeleza kwa kiwango gani MaCCM yameharibu Mkoa wa Tanga na kuwafanya wakazi wa wilaya kongwe ya Korogwe kuwa maskini kiwango cha kutisha.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Mainstream media ziligoma kuchapisha habari za ‘press’ ya Bishop Josephat GWAJIMA alipozungumza kuhusu utekaji. Hata waliokuwa wamechapisha, walifuta kwa maelekezo. Lakini habari za mkutano mkuu wa MaCCM kumkejeli Askofu Gwajima zimechapishwa na mainstream zote. Hypocrisy.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Baada ya mkutano wa hadhara Tanga Mjini, CHADEMA tukiongozwa na Makamu Mwenyekiti John Heche na Katibu Mkuu MNYIKA John John tumetembelea nyumbani kwa Mzee #AliMohammedKibao na kusalimia familia. Pichani ni mjane wa Mzee Ali Kibao akilia kwa uchungu. Serikali ya MaCCM ni KATILI sana.

Baada ya mkutano wa hadhara Tanga Mjini, CHADEMA tukiongozwa na Makamu Mwenyekiti <a href="/HecheJohn/">John Heche</a> na Katibu Mkuu <a href="/jjmnyika/">MNYIKA John John</a> tumetembelea nyumbani kwa Mzee #AliMohammedKibao na kusalimia familia. Pichani ni mjane wa Mzee Ali Kibao akilia kwa uchungu. Serikali ya MaCCM ni KATILI sana.
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam. Baada ya kumaliza ziara ya chama Kanda ya Kaskazini mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara na Tanga, asubuhi hii tupo ndani ya Mahakama ya Kisutu katika kesi mbili alizopewa Tundu Antiphas Lissu. We shall never surrender to oppression

Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam.

Baada ya kumaliza ziara ya chama Kanda ya Kaskazini mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara na Tanga, asubuhi hii tupo ndani ya Mahakama ya Kisutu katika kesi mbili alizopewa <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a>. We shall never surrender to oppression
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Leo kimetokea kitu tofauti Mahakama ya Kisutu. Utaratibu ni kwamba, public inaingia kwanza, anafuata mshtakiwa na kisha Hakimu/Jaji. Leo, mshtakiwa kaingia baada ya hakimu na kapiga “NO REFORMS; NO ELECTION”. Mawakili upande wa Jamhuri analalamika kwamba Mahakama imedharauliwa.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Kuwazuia viongozi na wanachama wa CHADEMA kuingia ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia kesi ya Tundu Lissu na kuwapiga wengine inadhihirisha uwezo wenu hafifu wa kutatua changamoto. Kwamba, ukiwa na nyundo mkononi, kila kitu (kwako) unakiona kama msumari,

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Ukiachana na suala la Jamhuri kutaka mashahidi wa kesi dhidi ya Tundu Lissu wafichwe sura wasionekane, na taarifa ya kanisa la Ufufuo na Uzima kufutiwa usajili, habari nyingine mbaya ni The People’s Watchman na Agather Atuhaire kusema walifanyiwa vitendo vya Sodoma na Gomora wakiwa kizuizini

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Kanisa la Ufufuo na Uzima, Ubungo, Dar es Salaam, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima usiku huu limezingirwa na polisi…. Waumini waliokutwa eneo la kanisa hilo wanahojiwa.. hii inafuata baada ya taarifa za kufuta usajili wa kanisa hilo kusambaa.. Gwajima anapinga utekaji.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Hali halisi muda huu Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima lililopo Ubungo, Dar es Salaam. Polisi wamezidi kuongezeka na waumini wa kanisa hilo wanazidi kupambania haki yao ya kuabudu ambayo imeporwa baada ya Serikali kufuta usajili wa kanisa hilo

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Milio ya risasi za moto imesikika katika Kanisa la Ufufuo na Uzima, Ubungo, Dar es Salaam. Watu hao waliokwenda kumkamata Askofu Josephat Gwajima wamepambana kuvamia chumba chake lakini waumini wameendelea kuzuia asichukuliwe. Waumini hao wamekwenda kufunga barabara ya Morogoro.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Wakati waumini wa kanisa la Glory of Christ Church - Ufufuo na uzima linaloongozwa na @bishopgwajima lililopo Ubungo, Dar es Salaam wakiendelea kuimba wimbo “Tanzania nakupenda kwa moyo wote” Jeshi la Polisi limeendelea kuongeza nguvu kuwadhibiti waumini hao… ni saa nane usiku.