Head Kota (@headkota) 's Twitter Profile
Head Kota

@headkota

Business Man& Entrepreneur

ID: 1836369800580280320

calendar_today18-09-2024 11:41:31

1,1K Tweet

126 Takipรงi

531 Takip Edilen

Dr. Dorothy Gwajima (@dr_dgwajima) 's Twitter Profile Photo

@BabaKarissa Yeye mwenyewe, baada ya kupewa namba zake nikamuuliza eti vipi? Akasema anahitaji msaada... Nikampa.... Kuna shida hapo? Mbona wewe hukuomba namba zake uliposikia tafarani online? Roho mbaya au kutojali? Haya, lete na namba za wengine wote niwaulize kama wanahitaji msaada au

๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Hizi Filters kmmkโ€ฆ Unakutana na manzi - unamuangalia alivyoโ€ฆ inabidi urudi tena kwenye picha zake kuconfirm kama ni yeye kweliโ€ฆ Daaah๐Ÿ’”๐Ÿ’” Leo nmeingia cha kike๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

Head Kota (@headkota) 's Twitter Profile Photo

Leo Rais wa WAPWA ๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ Anatoa Milio kuhusu filter na make up huko Milio ni mikali sasa sijui kimemkuta nn ety tajiri la Kihaya tunaomba uongee chap chap huku unalia tupo nje ya muda ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Leo Rais wa WAPWA <a href="/EsirEid/">๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ</a>  Anatoa Milio kuhusu filter na make up huko Milio ni mikali sasa sijui kimemkuta nn ety tajiri la Kihaya tunaomba uongee chap chap huku unalia tupo nje ya muda ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Head Kota (@headkota) 's Twitter Profile Photo

Brother SIR JEFFโšก๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ with all due respect kwako na bila Ku judge IQ yangu naomba niulize kitu naomba kujua tofauti ya BETTING & TRADING manake Jana asubuhi nmeona kama unatoa milio ya kupoteza $780

OG๐ŸคŽ (@msafwa_og) 's Twitter Profile Photo

TICHA MANDEVU13 Hakikisha yupo kwenye utulivu ikiwezwkana muache leo ila kesho au kesho kutwa kaa nae vizuri ongea nae kama mzazi atakuelewa Au kama hauwez tafuta mtu wa busara aongee nae Usimpige sio solution kumbuka huyo ni kijana mdg bado yupo kweny stage ya balehe

๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

Privaldinho Sikuzote mmarekani hakupigi moja kwa mojaโ€ฆ Kwanza anakuita jina bayaโ€ฆ Alafu anakupiganisha na watu wako ndani kwa ndani! Yeye ndio anajidai kuja kutoa support baadae- kumaliza mchezo! Case study: LIBYA- GADAFFI na NATO

mimilicious๐ŸŒน๐Ÿ’ (@amina_hafidh) 's Twitter Profile Photo

Mimi naamini chadema ina wanasheria makini sana Lakini cha ajabu hawa wanasheria wanashindwa kuwaelekeza viongozi wao wasivunje sheria ili watumie muda mwingi kuleta mageuzi ya kisiasa Aiseee

Fumbo Khan (@fumbokhanjr) 's Twitter Profile Photo

Mondi Yupo Busy sana na IG Kuliko X kwasababu Huku hakutaki watu wasio na fact, wanataka mtu mwenye fact na maelezo yaliyo nyooka, haijalishi wewe ni star kiasi gani ila sisi Wapwa tunataka facts..!!