Hawa (@hawamadeha) 's Twitter Profile
Hawa

@hawamadeha

i believe in Almight LORD. i love you JESUS #BHRM Holder๐Ÿ‘ฉโ€๐ŸŽ“

ID: 1248106854397415425

calendar_today09-04-2020 04:34:12

1,1K Tweet

3,3K Followers

219 Following

Hawa (@hawamadeha) 's Twitter Profile Photo

Kama wewe sio baharia (muogeleaji mahiri) huwezi kuishi kigogo. Leo nimeshuhudia maji yapo kwenye mabati ya nyumba za watu pale. Nadhani wametoka kwa kuogelea

Hawa (@hawamadeha) 's Twitter Profile Photo

Game imeisha tulale sasa Zaburi 121:2-4 "Msaada wangu ukatika Bwana aliyezifanya mbingu na nchi usiuache mguu wako usongezwe asisinzie akulindaye naam hata sinzia wala hatalala usingizi yeye aliye mlinzi wa Israeli." USIKU MWEMA

Hawa (@hawamadeha) 's Twitter Profile Photo

Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa nguvu zako zote na kwa akili yako yote. Na, mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe. JUMAPILI NJEMA WAPENDWA

Hawa (@hawamadeha) 's Twitter Profile Photo

NIKISHAAPISHWA, NA KUSAINI WINO WANGU MWEKUNDU PALE, KWENYE UWANJA WA TAIFA, JIONI KUTAKUWA NA TAFRIJA๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Hawa (@hawamadeha) 's Twitter Profile Photo

Wanaume bhana, wakati mama yako kila siku anakuombea Mungu aibariki kazi ya mikono yako wewe upo busy kuitumia kupigia nyeto๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Hawa (@hawamadeha) 's Twitter Profile Photo

Nyieee๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ Bob mpambazi julius @Michael______7 huyu ndugu yenu๐Ÿ™Œ

iHumphreys (@ihumphreyz) 's Twitter Profile Photo

Mara ya kwanza namsikia CHUI๐Ÿฏ ilikuwa 2015 akishirikishwa na Maalim Nash kwenye kibao โ€˜USWAZIโ€™, fast forward 6 years, anatupatia #SoundFromAfrica album, akishirikisha wasanii wa ndani na nje. Achana na melody zilizomo humo, CHUI๐Ÿฏ ameonesha uwezo mkubwa sana wa UTUNZI.

Mara ya kwanza namsikia <a href="/Rayvanny/">CHUI๐Ÿฏ</a> ilikuwa 2015 akishirikishwa na <a href="/Nashemcee/">Maalim Nash</a> kwenye kibao โ€˜USWAZIโ€™, fast forward 6 years, anatupatia #SoundFromAfrica album, akishirikisha wasanii wa ndani na nje. 

Achana na melody zilizomo humo, <a href="/Rayvanny/">CHUI๐Ÿฏ</a> ameonesha uwezo mkubwa sana wa UTUNZI.