Hamis German(@Germanhamisi) 's Twitter Profileg
Hamis German

@Germanhamisi

Fundi mkaza bolts & nuts πŸ”©

@SimbaSCTanzania @ChelseaFC

ID:1299954245219868674

calendar_today30-08-2020 06:17:20

104,1K Tweets

34,7K Followers

5,6K Following

Jayleen πŸ’ž(@JayleenRickie) 's Twitter Profile Photo

Mmeamkaje... Nakuombea Inapoanza wiki yako ikapate kwenda vizuri Chochote ulichokipanga kikafanikiwe Uzidi kupata Baraka Mshukuru Mungu kwa Kila jambo πŸ™

Mmeamkaje... Nakuombea Inapoanza wiki yako ikapate kwenda vizuri Chochote ulichokipanga kikafanikiwe Uzidi kupata Baraka Mshukuru Mungu kwa Kila jambo πŸ™
account_circle
Mchachu, PhD🐐(@mchachu_) 's Twitter Profile Photo

Mambo 5 ya msingi sana ya kuyazingatia unapotaka kununua ardhi/kiwanjaπŸ“πŸ‘‡

1. Kiwe na hati/offa

2. Kuwe na huduma za kijamii ie umeme maji

3. Kiwe kinafikika vizuri ie barabarani

4. Kisiwe na mgogoro

5. Pitia taarifa zake kutoka mamlaka za serikali.

account_circle
Black Dady(@UTDDady) 's Twitter Profile Photo

Ukimya unaoendelea mpaka muda huu na siku zijazo, umeletwa kwenu kwa hisani ya Phil Foden na genge lake la City.

Dunia imekua na amani tuliyokuwa tunaitaka.πŸ˜ƒπŸ™

Ukimya unaoendelea mpaka muda huu na siku zijazo, umeletwa kwenu kwa hisani ya Phil Foden na genge lake la City. Dunia imekua na amani tuliyokuwa tunaitaka.πŸ˜ƒπŸ™
account_circle
Sweety✨(@sweertheaty) 's Twitter Profile Photo

UKWELII KUHUSU NYASHI...πŸ‘

Mwanamke hapendi kushikwa hips (Nyashi) na Mwanaume asiyempenda Moyoni.

Mwanamke anapata wasiwasi na ukakasi mwanaume wake usiposhika na kubinya hips zake (Nyashi)

Jitahidi unapomkumbatia mikono yako ipapase eneo la juu la hips ikiwa mpe hadharani,

UKWELII KUHUSU NYASHI...πŸ‘ Mwanamke hapendi kushikwa hips (Nyashi) na Mwanaume asiyempenda Moyoni. Mwanamke anapata wasiwasi na ukakasi mwanaume wake usiposhika na kubinya hips zake (Nyashi) Jitahidi unapomkumbatia mikono yako ipapase eneo la juu la hips ikiwa mpe hadharani,
account_circle