Emanuel Solo (@emanuelsolo5) 's Twitter Profile
Emanuel Solo

@emanuelsolo5

Father, Man U and Young Africa fan,Political analyst and Mjumbe wa Chama cha Wanafiki

ID: 1490042761667657736

calendar_today05-02-2022 19:21:28

144,144K Tweet

11,11K Takipçi

3,3K Takip Edilen

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Mwanangu Tale kabananishwa na Cza kuhusu maendeleo ndani ya miaka 64 ya uhuru, ilibaki kidogo akinyee Chama😁 Alivyosema tu shida ni utawala, nikasema mtumeeee 😁 kamkubwa anapigaje U-turn hapa kujinusuru!! Fasta akawasingizia wakoloni😁😁😁😁

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Alichokifanya BONI YAI leo… Inafaa Viongozi wote wa Kanda zote wakifanye aiseee🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Katuheshimisha na karudisha utulivu mkubwa saana ndani ya CHAMA!

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Though walls and chains may seek to silence you, know that your truth speaks louder than any lie. You are not forgotten. Your courage in the face of injustice inspires all of us who still believe in freedom, dignity, and justice. Tundu Antiphas Lissu

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Kama CDM haina mvuto,imesambaratika,haipendwi, sisiemu mnaogopa nini kufanya reforms ukafanyika uchaguzi wa huru na haki mkaithibitishia dunia maneno hayo? mnaogopa nini?

Hancy Machemba (@hancymachemba) 's Twitter Profile Photo

Yaani leo hii CHAUMA iwe na uwezo wa kurusha chopa mikoa yote kwa siku 16? Kama sio biashara ya siasa ni nn? Ni mtu mjinga pekee ndiye ataamini hicho chama kinapigania kweli maslahi ya watanzania.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Ruzuku ambayo MSAJILI amesitisha kwa CHADEMA ni kiasi cha Tsh. 107 Milioni kila mwezi. Ni wastani wa watu 10,700 kila mwezi wakichangia Tsh. 10,000 au watu 50,000 wakichangia Tsh. 2,140 kila mwezi. Tuweke nguvu katika #ToneTone tuachane na masimango ya MaCCM na DOLA. ASITUTISHE!

Ruzuku ambayo MSAJILI amesitisha kwa CHADEMA ni kiasi cha Tsh. 107 Milioni kila mwezi. Ni wastani wa watu 10,700 kila mwezi wakichangia Tsh. 10,000 au watu 50,000 wakichangia Tsh. 2,140 kila mwezi. Tuweke nguvu katika #ToneTone tuachane na masimango ya MaCCM na DOLA. ASITUTISHE!
Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

CCM wamevunja katiba yao kwenye upatikanaji wa mgombea wa urais mnqjichekesha tu ila msajili anataka kuipangia CDM nani wawe viongozi, sio CDM hii kudadeki.

MNYIKA John John (@jjmnyika) 's Twitter Profile Photo

Live muda huu Mbulu Mjini. Mkurugenzi wa Halmashauri alifunga eneo la uwanja ambao ulishalipiwa tayari na Chadema Tanzania kwa kisingizio kuwa polisi wanafanya mazoezi. Wananchi wamekuwa na uvumilivu hatimaye geti limefunguliwa , #NguvuYaUmma imeingia uwanjani. Tumeanza kuhutubia

Chadema Tanzania (@chadematz2) 's Twitter Profile Photo

Tunawashukuru watanzania kwa kuendelea kutuchangia. Kwa siku tatu tangu msajili atangaze kukifutia Chama ruzuku tarehe 28 - 30 Mei 2025 mmeweza kutuchangia kiasi cha Tsh. 30,244,700. Tunawaomba muendelee kukichangia Chama katika malipo ya moja kwa moja na kujiunga na malipo ya

Tunawashukuru watanzania kwa kuendelea kutuchangia.

Kwa siku tatu tangu msajili atangaze kukifutia Chama ruzuku tarehe 28 - 30 Mei 2025 mmeweza kutuchangia kiasi cha Tsh. 30,244,700.

Tunawaomba muendelee kukichangia Chama katika malipo ya moja kwa moja na kujiunga na malipo ya