Rev. Dr. Eliona Kimaro (@elionakimaro) 's Twitter Profile
Rev. Dr. Eliona Kimaro

@elionakimaro

Senior Pastor at Kijitonyama Lutheran Parish | Author | Philanthropist | Gen 1:3 - “Let there be Light”

ID: 1656207468295335936

calendar_today10-05-2023 08:00:47

547 Tweet

8,8K Followers

35 Following

Rev. Dr. Eliona Kimaro (@elionakimaro) 's Twitter Profile Photo

Je unajua upo kwenye msimu gani wa maisha yako? Ninakuombea Mungu akupe hekima ya kufahamu msimu uliopo, na ukatende yale yakupasayo kutenda katika msimu huo, na akuepushe na bumbuwazi la moyo.

Rev. Dr. Eliona Kimaro (@elionakimaro) 's Twitter Profile Photo

Asubuhi ya leo ninakuombea Mungu akupe neema ya kujiepusha na manung'uniko. Kwa sababu manung'uniko yanafunga milango mingi ya baraka.

Rev. Dr. Eliona Kimaro (@elionakimaro) 's Twitter Profile Photo

Siku ya jana tarehe 26/Feb/2026 nilipata nafasi ya Kushiriki katika maombolezo ya Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo. Pia nilipata nafasi ya kumpa pole Baba Askofu Mkuu jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Mhasham Jude Thaddeus Ruwaichi kwa kupatwa na msiba huo wa Baba Askofu Mkuu

Siku ya jana tarehe 26/Feb/2026 nilipata nafasi ya Kushiriki katika maombolezo ya Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo. 

Pia nilipata nafasi ya kumpa pole Baba Askofu Mkuu jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Mhasham Jude Thaddeus Ruwaichi kwa kupatwa na msiba huo wa Baba Askofu Mkuu
Rev. Dr. Eliona Kimaro (@elionakimaro) 's Twitter Profile Photo

Hakikisha unapata muda wa kukaa mwenyewe kujihoji na kujifanyia critical evaluation ili uweze kukua. Ninakuombea kwa Mungu akupe neema hii, ambayo asili yake imeanzia kwake.