Aex Multbussiness (@dumadecoration) 's Twitter Profile
Aex Multbussiness

@dumadecoration

OPPORTUNITER

ID: 1487010789294845952

calendar_today28-01-2022 10:33:14

309 Tweet

162 Followers

723 Following

Learners Bookshop (@vitabu247) 's Twitter Profile Photo

Tujikumbushe Tena Sheria 7 za pesa walizotumia watu wa babeli kuondokana na giza kubwa la umasikini. SHERIA YA KWANZA: Kipato chako ndicho chanzo cha kwanza cha kutengeneza utajiri, weka akiba angalau asilimia 10% ya kipato chako unapokipokea

Tujikumbushe Tena
Sheria 7 za pesa walizotumia  watu wa babeli kuondokana na giza kubwa la umasikini.

SHERIA YA KWANZA: Kipato chako ndicho chanzo cha kwanza cha kutengeneza utajiri, weka akiba angalau asilimia 10% ya kipato chako unapokipokea
Sunday Victor (@sundey_fx) 's Twitter Profile Photo

2025, fanya hivi, tafuta bidhaa 1 inayofanya vizuri, angalia bidhaa hizi, -fashion -phone gudgets -bidhaa za kupuunguza kitambi, fungua facebook na istagram, anza kunua mtangazo facebook kwa $10 kwa week, utaauza mpaka utashaa, shortcut yako ni kununua matangazo(ads)

Mwl Wa Wataalam (@millambo_) 's Twitter Profile Photo

Kwenye coaching program yangu, Mtu ukinipa malengo yako... Huwa nakuuliza, standards zako za chini kabisa ambazo hawezi kushuka: Mfano: - Kiwango cha chini cha benki ambacho huwezi vumilia - Idadi ya wateja ambao huwezi shuka kwa mwezi - Muda wa kuingia mtandaoni ambao

Kelvin Kibenje Kyaluoko (@kelvinkibenje) 's Twitter Profile Photo

Unajua ni Kwanini baadhi ya watu HUFIRISIKIA na KUPOTEZA MITAJI BAADA YA KWENDA CHINA Kibiashara na HAWARUDI tena? Haya ni makosa ambayo hupaswi kuyafanya kama Mfanyabiasha unayetegemea kwenda China mwaka huu 2025 au miaka ijayo. Ni BORA UYAJUE Mapema usije kujifunza kwa machozi

Sunday Victor (@sundey_fx) 's Twitter Profile Photo

IKIGAI. "a reason for being" Japanese concept on how to find your purpose & live your happier life. what you love+what world need=MISSION. what world need+what you paid for=VOCATION. what your good at+what you paid for=PROFESSIONAL. what you love+what your good at=PASSION.

IKIGAI.

"a reason for being"

Japanese concept on how to find your purpose & live your happier life.

what you love+what world need=MISSION.

what world need+what you paid for=VOCATION.

what your good at+what you paid for=PROFESSIONAL.

what you love+what your good at=PASSION.
Mwl Wa Wataalam (@millambo_) 's Twitter Profile Photo

Mafanikio ni Mumivu...😎🫵 Huwezi kufikia ndoto zako kama: 1. Huangalii malengo yako kila siku. 2. Huna muda wa kufocus na mambo yako. 3. Huwezi kutizama video ya kujifunza ya saa 2. 4. Unafata watu wanasema nini badala ya dira yako 5. Huwezi kuacha raha nyepesi na kuweka

Mwl Wa Wataalam (@millambo_) 's Twitter Profile Photo

Kama umechoka na maisha yako, JIBADILI. Nimekuja kujifunza mwanadamu anaweza kubadili kabisa maisha yake na kuwa aina tofauti ya mtu. Na hii ndio siri ya mafanikio. Huwezi kufiskia malengo makubwa kama hujawa mtu sahihi kufika hizo level. Mfano: Unataka kuingiza Mil 160 kwa

Mwl Wa Wataalam (@millambo_) 's Twitter Profile Photo

98% ya watu wana ujuzi na uzoefu wanaoweza kuuza mtandaoni. Ila wengi wamechagua kuona aibu na kuishi umasikini. Wengine wamechagua kutumikia wengine ili wapate mkate. ...Nipo hapa kukumbusha kuwa, Mungu hakuumba kiumbe dhaifu. Udhaifu umechagua mwenyewe. Una: -Ujuzi -

LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

Mambo ya msingi kwa vijana wanaopambana kwa mwaka huu ni haya:- Kitakachokupa WATEJA wengi ni UAMINIFU wako Kitakachoongeza THAMANI yako ni UBUNIFU wako Kitakachofanya UPENDWE na wateja ni LUGHA yako Kitakachofanya UDUMU katika biashara yako ni NIDHAMU Kitakachofanya

Mambo ya msingi kwa vijana wanaopambana kwa mwaka huu ni haya:-

Kitakachokupa WATEJA wengi ni UAMINIFU wako

Kitakachoongeza THAMANI yako ni UBUNIFU wako

Kitakachofanya UPENDWE na wateja ni LUGHA yako 

Kitakachofanya UDUMU katika biashara yako ni NIDHAMU 

Kitakachofanya
Mtanzania|Meta Ads Beast (@jorammtanzania) 's Twitter Profile Photo

Wengi Wanarusha Matangazo bila Kuelewa Tofauti ya Kutumia ORIGINAL AUDIENCE na ADVANTAGE + AUDIENCE (Details Target) Huu Uzi Mfupi Nataka Nikupe Tofauti kubwa.. Ili Uchague wewe Ipi Itakufaa Kati ya ORIGINAL AUDIENCE Vs ADVANTAGE + AUDIENCE (Detailed Targeting) Repost👇

Wengi Wanarusha Matangazo bila Kuelewa  Tofauti  ya Kutumia ORIGINAL AUDIENCE  na ADVANTAGE + AUDIENCE (Details Target)

Huu Uzi Mfupi Nataka Nikupe Tofauti kubwa..

Ili Uchague wewe Ipi Itakufaa
Kati ya ORIGINAL AUDIENCE  Vs 
ADVANTAGE + AUDIENCE (Detailed  Targeting)

Repost👇
Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Uvivu ni tabia ya kupumzika kabla hujafanya kazi; ule uchovu unaousikia kabla hujaona matokeo ya kazi; ni ile hali ya kujihurumia ukiamini kazi ni ndogo, haina haraka na unahitaji kuupa mwili shukrani kidogo. Uvivu ni wepesi wa kughairi jambo ulilopanga ili upate muda wa kufanya

Mwl Wa Wataalam (@millambo_) 's Twitter Profile Photo

Hii ni siri lakini nitasema kwa faida yako... 👇 Ni rahisi sana kuuza bidhaa yoyote online. Ndio maana wafanyabishara wengi kila siku ni kurun matangazo. Ni ngumu sana kudumu kwenye biashara kama huna product inayotatua matatizo 100%. Njia rahisi ya kufanikiwa sokoni: >>

Samson Ernest (@samsonernest_) 's Twitter Profile Photo

Kijana kuwa na muda wa maombi, jiombee sana, mpaka uone sawasawa kusudi la kuzaliwa kwako. Soma sana biblia na vitabu mbalimbali vya kukujenga na kufufua kile kimelala ndani yako, sikiliza mafundisho, jiwekee mipaka na kutogusa vitu vitakavyofifisha maono yako.

Mwl Wa Wataalam (@millambo_) 's Twitter Profile Photo

Kuna wakati unafika unagundua umekwama mahali kwa kwa muda mrefu. Pesa haingoezeki. Wateja wanapungua. Baraka hazionekani. SIKIA. Anza na wewe. JIBADILI. Umejizoea sana. Unajidekeza sana. Jiambie ukweli. Badili chakula. Badili ratiba. Badili marafiki. Badili maarifa.

Mwl Wa Wataalam (@millambo_) 's Twitter Profile Photo

Moyoni unaonekana umechoka na maisha yako ya sasa. Matendo yako yanaonesha upo comfortable sana. SHIDA NI WEWE. Una unafiki mwingi. Kama unachoamoni na unachofanya ni vitu viwili tofauti, basi muda sasa wa kutafuta dawa ya kuwa sawa. CHANGE YOU, LIVE YOUR DREAM.

StarX Network (@starxcoreteam) 's Twitter Profile Photo

🚀 StarX Network – Official Community Giveaway! 🚀 To celebrate our recent milestones and the success of the first halving, we’re launching a special community reward event — designed to appreciate your creativity, effort, and dedication to the StarX vision. 🎥 Create engaging

Kelvin Kibenje Kyaluoko (@kelvinkibenje) 's Twitter Profile Photo

Kama kuna kijana hasa.. Miaka 22 adi 35 Na unataka mafanikio ya kweli Mwaka 2026, usijishauri mara mbili mbili kufanya haya mambo kuanzia sasa...