Afya Yangu ๐Ÿ’Š (@dr_simon01) 's Twitter Profile
Afya Yangu ๐Ÿ’Š

@dr_simon01

God 1st || Health Content creator || Elumu Ya Afya,
#MtuNiAfya #AfyaYangu

ID: 1656369907628404760

linkhttps://biolinks.cc/afya calendar_today10-05-2023 18:46:34

11,11K Tweet

4,4K Takipรงi

498 Takip Edilen

Afya Yangu ๐Ÿ’Š (@dr_simon01) 's Twitter Profile Photo

FANGASI YA UKENI (Vagina Candidiasis) ni tatizo kubwa Kwa Dada zetu,zipo Sabab Nying zinazoweza Kupelekea tatiz hilo litokee kam โœ“Matumiz ya dawa ya aina Steroids Kwa Mda Mrefu โœ“Usafi wa mtu binafs โœ“Kuwa na Maradhi Mengin kam HIV, DM โœ“Matumiz ya vyakula vyenye sukari Kwa wing

FANGASI YA UKENI (Vagina Candidiasis) ni tatizo kubwa Kwa Dada zetu,zipo Sabab Nying zinazoweza Kupelekea tatiz hilo litokee kam
โœ“Matumiz ya dawa ya aina Steroids Kwa Mda Mrefu
โœ“Usafi wa mtu binafs
โœ“Kuwa na Maradhi Mengin kam HIV, DM
โœ“Matumiz ya vyakula vyenye sukari Kwa wing
Afya Yangu ๐Ÿ’Š (@dr_simon01) 's Twitter Profile Photo

GONORRHEA( KISONONO) Ni Moja ya Magonjwa ya Zinaa & huambukizwa Kwa njia ya Kujamiana au Kufanya Oral sex ๐Ÿ‘‰๐ŸพUgonjwa huu husababishwa na bacteria hutambulika Kwa Jina la NEISSERIA GONORRHEA Follow my TL account for health Education @dr_simoni , Don't judge Uzi ๐Ÿงต๐Ÿชก iyo apo

GONORRHEA( KISONONO) Ni Moja ya Magonjwa ya Zinaa & huambukizwa Kwa njia ya Kujamiana au Kufanya Oral sex
๐Ÿ‘‰๐ŸพUgonjwa huu husababishwa na bacteria hutambulika Kwa Jina la NEISSERIA  GONORRHEA 

Follow my TL account for health Education @dr_simoni , Don't judge
Uzi ๐Ÿงต๐Ÿชก iyo apo
Afya Yangu ๐Ÿ’Š (@dr_simon01) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“Episode 1 Thread ๐Ÿงต๐Ÿชก => JE MATUMIZI/ UVUTAJI WA SIGARA INAWEZA KUWA SALAMA KWA AFYA YAKO ? => Bila Kusahau ku~ Like ๐Ÿ” , RT๐Ÿ”€ ifike mbali => Follow @dr_simoni Kwa tips za Afya, bila kumsahau kumfolo ๐——๐—ฎ๐—ถ๐—น๐˜† ๐—›๐—ฒ๐—ฎ๐—น๐˜๐—ต ๐—ง๐—ถ๐—ฝ๐˜€๐Ÿ’Š Kwa Dondoo za Afya ya Mama Na Mtoto

๐Ÿ“Episode 1 

Thread ๐Ÿงต๐Ÿชก

=> JE MATUMIZI/ UVUTAJI WA SIGARA INAWEZA KUWA SALAMA KWA AFYA YAKO ?

=> Bila Kusahau ku~ Like ๐Ÿ” , RT๐Ÿ”€  ifike mbali

=&gt; Follow @dr_simoni Kwa tips za Afya, bila kumsahau kumfolo <a href="/ChildMaternal/">๐——๐—ฎ๐—ถ๐—น๐˜† ๐—›๐—ฒ๐—ฎ๐—น๐˜๐—ต ๐—ง๐—ถ๐—ฝ๐˜€๐Ÿ’Š</a>  Kwa Dondoo za Afya ya Mama Na Mtoto
Dr. Grace Mapunda (@drgracemapunda) 's Twitter Profile Photo

Swipe for more >>>> AFYA YA AKILI Kumekuwa na maswali mengi juu ya magonjwa ya akili. Ni muhimu kufahamu kuhusu AFYA YA AKILI na UGONJWA WA AKILI. Karibu tuendelee kujifunza zaidi ili kuvunja unyanyapaa wa AFYA YA AKILI. #afyayaakiliniafya #sononakazini๐Ÿ“š

Swipe for more &gt;&gt;&gt;&gt; AFYA YA AKILI

Kumekuwa na maswali mengi juu ya magonjwa ya akili. 

Ni muhimu kufahamu  kuhusu AFYA YA AKILI na UGONJWA WA AKILI.

Karibu tuendelee kujifunza zaidi ili kuvunja unyanyapaa wa AFYA YA AKILI.

#afyayaakiliniafya
#sononakazini๐Ÿ“š
oncointelligence (@oncointelligenc) 's Twitter Profile Photo

Honored to receive this certificate of appreciation from GCCA for our colorectal cancer awareness campaign in Tanzania. Thank you for support Global Colon Cancer Association #ColorectalCancerAwareness #BlueHatBowTie

Honored to receive this certificate of appreciation from GCCA for our colorectal cancer awareness campaign in Tanzania.
Thank you for support
<a href="/GlobalCRC/">Global Colon Cancer Association</a>

#ColorectalCancerAwareness #BlueHatBowTie
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

HIVI NDIVYO UCHUNGUZI WA TEZI DUME UNAVYOFANYIKA โ€”USIPOJUA HILI, UNAWEZA UKAJUTA BAADAYE...! Kuna kitu wanaume wengi hawapendi kusikia, lakini ni muhimu sana kwa afya yao, Unaweza kuwa na tatizo la tezi dume bila kujua. Open Thread: โคต

HIVI NDIVYO UCHUNGUZI WA TEZI DUME UNAVYOFANYIKA โ€”USIPOJUA HILI, UNAWEZA UKAJUTA BAADAYE...!

Kuna kitu wanaume wengi hawapendi kusikia, lakini ni muhimu sana kwa afya yao, Unaweza kuwa na tatizo la tezi dume bila kujua.

Open Thread: โคต
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

SIRI NDOGO lakini yenye NGUVU KUBWA, ya kukusaidia kudumu kwa muda mrefu kitandani โ€”Bila kutegemea hata tembe moja ya Booster. โ€”Ukiifahamu SIRI hii, Tatizo la Nguvu za Kiume kwako Litabaki Historia. FUATILIA ELIMU HII KWA MAKINI: OPEN THREAD: โคต

SIRI NDOGO lakini yenye NGUVU KUBWA, ya kukusaidia kudumu kwa muda mrefu kitandani โ€”Bila kutegemea hata tembe moja ya Booster.

โ€”Ukiifahamu SIRI hii, Tatizo la Nguvu za Kiume kwako Litabaki Historia.

FUATILIA ELIMU HII KWA MAKINI: OPEN THREAD: โคต
The mandevu (@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Popote ulipo onyesha upendo kwa Mheshimiwa Tundu Antiphas Mughwai Lissu kwa ku-repost hizi salamu zimfikie mpaka pale alipo.โœŒ๏ธ

Popote ulipo onyesha upendo kwa Mheshimiwa Tundu Antiphas Mughwai Lissu kwa ku-repost hizi salamu zimfikie mpaka pale alipo.โœŒ๏ธ
Dr. Grace Mapunda (@drgracemapunda) 's Twitter Profile Photo

Swipe for more >>>> AFYA YA AKILI Kumekuwa na maswali mengi juu ya magonjwa ya akili. Ni muhimu kufahamu kuhusu AFYA YA AKILI na UGONJWA WA AKILI. Karibu tuendelee kujifunza zaidi ili kuvunja unyanyapaa wa AFYA YA AKILI. #afyayaakiliniafya #sononakazini๐Ÿ“š

Swipe for more &gt;&gt;&gt;&gt; AFYA YA AKILI

Kumekuwa na maswali mengi juu ya magonjwa ya akili. 

Ni muhimu kufahamu  kuhusu AFYA YA AKILI na UGONJWA WA AKILI.

Karibu tuendelee kujifunza zaidi ili kuvunja unyanyapaa wa AFYA YA AKILI.

#afyayaakiliniafya
#sononakazini๐Ÿ“š
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

Ulikuwa Nae Kitandani โ€”Lakini Uume Ukakusaliti! Usiogope โ€“ Huu Ndio Mwongozo Wa Mapinduzi Ya Nguvu Za Kiume Bila Dawa! Embu Vuta Picha...!!! Kisha Pitia Misingi Mikuu (5) Ya Ukombozi Wa Afya Yako Ya Uzaziโ€” HAPO CHINI. Open Thread: โคต

Ulikuwa Nae Kitandani โ€”Lakini Uume Ukakusaliti! Usiogope โ€“ Huu Ndio Mwongozo Wa Mapinduzi Ya Nguvu Za Kiume Bila Dawa!

Embu Vuta Picha...!!! Kisha Pitia Misingi Mikuu (5) Ya Ukombozi Wa Afya Yako Ya Uzaziโ€” HAPO CHINI.

Open Thread: โคต
Dr. Grace Mapunda (@drgracemapunda) 's Twitter Profile Photo

Swipe for more >>>> AFYA YA AKILI Kumekuwa na maswali mengi juu ya magonjwa ya akili. Ni muhimu kufahamu kuhusu AFYA YA AKILI na UGONJWA WA AKILI. Karibu tuendelee kujifunza zaidi ili kuvunja unyanyapaa wa AFYA YA AKILI. #afyayaakiliniafya #sononakazini๐Ÿ“š

Swipe for more &gt;&gt;&gt;&gt; AFYA YA AKILI

Kumekuwa na maswali mengi juu ya magonjwa ya akili. 

Ni muhimu kufahamu  kuhusu AFYA YA AKILI na UGONJWA WA AKILI.

Karibu tuendelee kujifunza zaidi ili kuvunja unyanyapaa wa AFYA YA AKILI.

#afyayaakiliniafya
#sononakazini๐Ÿ“š
๐——๐—ฎ๐—ถ๐—น๐˜† ๐—›๐—ฒ๐—ฎ๐—น๐˜๐—ต ๐—ง๐—ถ๐—ฝ๐˜€๐Ÿ’Š (@childmaternal) 's Twitter Profile Photo

Katika kipindi hiki cha mvua ya mara kwa mara zingatia yafuatayo Epuka kumwacha mtoto pekee yake nyumbni bila mwangalizi Weka mazingira ya nyumbni kuwa rafiki kwa watoto wadogo kwa kufunika ndoo za maji zilizowaz Usimwache mtoto achezee Maji

Katika kipindi hiki cha mvua ya mara kwa mara zingatia yafuatayo

Epuka kumwacha mtoto pekee yake nyumbni bila mwangalizi

Weka mazingira ya nyumbni kuwa rafiki kwa watoto wadogo kwa kufunika ndoo za maji zilizowaz

 Usimwache mtoto achezee Maji
๐——๐—ฎ๐—ถ๐—น๐˜† ๐—›๐—ฒ๐—ฎ๐—น๐˜๐—ต ๐—ง๐—ถ๐—ฝ๐˜€๐Ÿ’Š (@childmaternal) 's Twitter Profile Photo

๐ƒ๐€๐‹๐ˆ๐‹๐ˆ ๐‡๐€๐“๐€๐‘๐ˆ๐’๐‡๐ˆ ๐Š๐–๐€ ๐Œ๐€๐Œ๐€ ๐Œ๐‰๐€๐Œ๐™๐ˆ๐“๐Ž โคต๏ธ โ†’ Maumivu Makali Chini ya Kitovu (tumboni) โ†’ Kutokwa na mbichi/ mabonge mabonge (fresh/clot blood) Ukeni โ†’ Maumivu Makali ya Kichwa/ Kizunguzungu na Kushindwa Kuona vizuri Naomba, Rt yako

๐ƒ๐€๐‹๐ˆ๐‹๐ˆ ๐‡๐€๐“๐€๐‘๐ˆ๐’๐‡๐ˆ ๐Š๐–๐€ ๐Œ๐€๐Œ๐€ ๐Œ๐‰๐€๐Œ๐™๐ˆ๐“๐Ž โคต๏ธ

โ†’ Maumivu Makali Chini ya Kitovu (tumboni)

โ†’ Kutokwa na mbichi/ mabonge mabonge (fresh/clot blood) Ukeni 

โ†’ Maumivu Makali ya Kichwa/ Kizunguzungu na Kushindwa Kuona vizuri 

Naomba, Rt yako
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

TANGAWIZIโ€” SIO KWA CHAI TU, INA NGUVU KUBWA KULIKO UNAVYOFIKIRIA...! Hakikisha Huruki Neno Hata Moja Kwenye Uzi Huu' Open Thread โคต

TANGAWIZIโ€” SIO KWA CHAI TU, INA NGUVU KUBWA KULIKO UNAVYOFIKIRIA...!

Hakikisha Huruki Neno Hata Moja Kwenye Uzi Huu' Open Thread โคต
Afya Yangu ๐Ÿ’Š (@dr_simon01) 's Twitter Profile Photo

Upo kwenye basi la mikoani afu ukaona Pisi fulani ukamwelewa , ivi huwa mnatumia mbinu gani nyie ili kupata namba ake ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ

Jayreally47๐Ÿ’Š (@_jayreally47) 's Twitter Profile Photo

GONORHEA OF GENITAL Hii huwa ni kiboko hasa iwe sugu! Nimeshuhudia mtu mzima akilia kama mtoto, wakati wa kukojoa.. TUWE MAKINI WAZEE ๐Ÿ˜ƒ