Diana Paul Chando 🦅
@dianachando
Tanzanian Diplomat
ID: 726040545181618176
29-04-2016 13:28:50
3,3K Tweet
21,21K Followers
225 Following
Congratulations to a true champion of Peace and Security. Your dedication has set the standard for diplomacy, bridging divides and laying the foundation for lasting peace. Your exceptional leadership will inspire generations to come. Amb. Bankole Adeoye
Balozi Innocent Shiyo amemwakilisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Kombo (@mahmoudkombo), katika Mkutano Maalum wa 24 wa Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Afrika (African Union) unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia
The African Union will forever be the birthplace of my diplomatic career—a place where my practical journey and professional growth truly began.
Jukwaa la Kimataifa la Vijana wa Afrika (AYFI), lenye makao yake makuu chini ya serikali ya Ghana inayojihusisha na sera na programu za vijana barani Afrika, imemteua rasmi Diana Chando Diana Paul Chando 🦅 kutoka Tanzania kuwa miongoni mwa wajumbe wa Bodi yake ya Ushauri. Diana Chando