Chama Cha Mapinduzi (@ccmtanzania) 's Twitter Profile
Chama Cha Mapinduzi

@ccmtanzania

Chama Cha Mapinduzi (CCM)

ID: 200141650

linkhttps://www.facebook.com/ChamaChaMapinduzi calendar_today08-10-2010 15:06:08

18 Tweet

2,2K Takipçi

278 Takip Edilen

Chama Cha Mapinduzi (@ccmtanzania) 's Twitter Profile Photo

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi nchini kote wataungana na kuwa mstari wa mbele ktk maadhimisho hayo ya Mwenyekiti wa kwanza wa Chama hicho.

Chama Cha Mapinduzi (@ccmtanzania) 's Twitter Profile Photo

M/kiti wa CCM Ndg Jakaya Kikwete ataungana na watanzania wengine siku ya tarehe 14 oct, 2013 kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Mwl Nyerere.

Jakaya Kikwete (@jmkikwete) 's Twitter Profile Photo

Kiongozi analo jukumu la kuheshimu imani na matumaini ya wananchi waliyo nayo juu yake & kusimamia yale wanayoyatarajia na si kinyume chake.

Jakaya Kikwete (@jmkikwete) 's Twitter Profile Photo

Tufanye maamuzi kwa umakini na usahihi. Tunaamua kuhusu uhai wa nchi yetu. Tujipe muda wa kufikiri na kujiridhisha juu ya maamuzi yetu.

Jakaya Kikwete (@jmkikwete) 's Twitter Profile Photo

Hatima ya ustawi wa nchi yetu kwa miaka mingi ijayo ipo mikononi mwa wajumbe wa Bunge la Katiba. Ni jukumu lao kutupatia Katiba stahiki.

Jakaya Kikwete (@jmkikwete) 's Twitter Profile Photo

Muungano wetu umekuwa imara kwa miaka 50 sasa. Haijawa kazi rahisi. Tumezikabili changamoto zetu mbalimbali kwa pamoja kuifikia siku hii.

Jakaya Kikwete (@jmkikwete) 's Twitter Profile Photo

Ramadan Kareem to all our brothers and sisters in Islam. May Allah grant us more patience in dealing with each other and ourselves.

Jakaya Kikwete (@jmkikwete) 's Twitter Profile Photo

Hatutalipa madeni ambayo baadhi ya Vyama vya Ushirika vinadaiwa na mabenki mpaka walioyasababisha wakamatwe na kufikishwa mbele ya sheria.

Jakaya Kikwete (@jmkikwete) 's Twitter Profile Photo

Concentrate on Africa's children | TheHill itk.thehill.com/opinion/op-ed/… via @TheHill #USAfricaSummit #Tanzania #MedicalResearch