MELODY (@bk_melody) 's Twitter Profile
MELODY

@bk_melody

#C.E.O of my own life; Loyalty, friendship in one frame. ๐Ÿซถ๐Ÿฝ
MPENDA AMANI || SISI WOTE NI FAMILIA โœŒ๐Ÿพ|| +255 ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โ™ฅ๏ธ||
CFC๐Ÿ’™ /YAFC๐Ÿ’š fn

ID: 1195451041120161798

calendar_today15-11-2019 21:19:07

22,22K Tweet

7,7K Followers

4,4K Following

MELODY (@bk_melody) 's Twitter Profile Photo

Mdau mmoja anasema Namba 5 watu muhimu Wanaotakiwa kukuelewa Hutakiwi kukosa ni Mwanasheria, Daktari, Dalali, Pastor, na Mwana mmoja ambae ni Bon town.

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

KABLA YA MAZUNGUMZO LAZIMA WALIOPANGA,KUFADHILI NA KUENDESHA MAUAJI YA RAIA WA TANGANYIKA NA KUHUSIKA NA MPANGILIO WA UTEKAJI NA UPOTEZAJI WA RAIA KABLA,WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI WAKAMATWE NA KUFIKISHWA MAHAKAMA YA KIMATAIFA KWA UHALIFU DHIDI YA UBINADAMU. WATU WOTE

Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

MAN TO MAN Mwanaume anakuwa imara na wa thamani ya juu zaidi pale tu anapojiboresha katika maeneo haya: 1. Kupambana na msongo wa mawazo Jifunze kutawala akili yako, si mawazo yakutawale wewe. Utulivu wa akili ni silaha ya mwanaume makini. 2. Kiuchumi, inatakiwa upambane hadi