Benson Rayson (@bensonrusizi_) 's Twitter Profile
Benson Rayson

@bensonrusizi_

Researcher & Economist.

ID: 1068925148236005377

calendar_today01-12-2018 17:49:49

92,92K Tweet

36,36K Followers

932 Following

Benson Rayson (@bensonrusizi_) 's Twitter Profile Photo

Kurasa nyingine ni ngumu sana kwako, lakini kama utahifadhi kila karatasi kwa imani na maombi, utagundua furaha ya ile ya kweli mwisho wa story yako. Kama ukipoteza kitu ulikitarajia maishani Mungu atakupa kitu usichotarajia kukimiliki.

TARI Tanzania official page (@tanzaniatari) 's Twitter Profile Photo

Watafiti wa Kilimo kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) wameanza Utafiti wa kuchunguza ugonjwa wa vitunguu ujulikanao kwa jina la kienyeji la Kaukau ambao umeripotiwa kuwepo Wilaya Kilolo Mkoa wa Iringa na Malolo Wilaya ya Kilosa Mkoa wa Morogoro.

Watafiti wa Kilimo kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) wameanza Utafiti wa kuchunguza ugonjwa wa vitunguu ujulikanao kwa jina la kienyeji la Kaukau ambao umeripotiwa kuwepo Wilaya Kilolo Mkoa wa Iringa na Malolo Wilaya ya Kilosa Mkoa wa Morogoro.
Benson Rayson (@bensonrusizi_) 's Twitter Profile Photo

Mungu ana kawaida ya kumuinua asie kuwa na lolote akawa yeyote mbele ya watu walio kua hawaamini chochote juu yake. Hakika Mungu ni wa kwetu sote. Muhimu kuamini ndoto zako na kupambana bila kukata tamaa.

Benson Rayson (@bensonrusizi_) 's Twitter Profile Photo

Maisha ni safari. Kufanikiwa nikukubali kupanda na kushuka huku ukiimarisha mapambano yako. Usijifunge kwenye mapito, usijidogoshe na usirudie makosa. Usitazame sana mabaya yako. Furahia baraka zako. Saidia wengine. Sambaza upendo na ukarimu popote uendako. Utafika unapopataka.

TARI Tanzania official page (@tanzaniatari) 's Twitter Profile Photo

TARI yazidi kuwafikia wadau mbalimbali wanaotembelea katika Maonesho ya kimataifa ya Kilimo Maarufu kama Nanenane kyanayoendelea viwanja mbalimbali ikiwemo kitaifa Nzuguni Jijini Dodoma. Hussein M Bashe

TARI yazidi kuwafikia wadau mbalimbali wanaotembelea katika Maonesho ya kimataifa ya Kilimo Maarufu kama Nanenane kyanayoendelea viwanja mbalimbali ikiwemo kitaifa Nzuguni Jijini Dodoma. <a href="/HusseinBashe/">Hussein M Bashe</a>
Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

Asanteni sana Wakulima Asanteni TARI jana 08.08.2025 tumeweka historia kwa kuzindua Maabara Kuu ya Shughuli za Kilimo ambayo inaendana na utekelezaji wa ujenzi wa Mabaara zingine ambazo zitakuwepo katika kanda mbali mbali. Hii ya Dodoma ndio itakua ‘Central Lab’ na ndani kuna

Asanteni sana Wakulima

Asanteni TARI  jana 08.08.2025  tumeweka historia kwa kuzindua Maabara Kuu ya Shughuli za Kilimo ambayo inaendana na utekelezaji wa ujenzi wa Mabaara zingine ambazo zitakuwepo katika kanda mbali mbali.

Hii ya Dodoma ndio itakua ‘Central Lab’ na ndani kuna
Charity (@consolataally) 's Twitter Profile Photo

Kwenye haya maisha zawadi kubwa kuliko zote ni kuwa na mtu anayekujua vizuri wewe na kasoro zako na akaamua kubaki na wewe kwa jinsi ulivyo…

Charity (@consolataally) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume ukimheshimu, ukitimiza majukumu yako kama mke,ukiwa hauna kamdomo domo, ukiridhika na unachopewa hawezi kukusaliti kamwe… na awe amtoka seminarini aaahhh maisha swafiiiii nyumba inageuka kanisa dogo 😆

Charity (@consolataally) 's Twitter Profile Photo

“No weapon formed against me shall prosper" Isaiah 54:17 …No weapon forged against Me will prevail, and I will refute every tongue that accuses me . This is the heritage of the servants of the LORD, and this is their vindication from me…

MIRIAM💜 (@miriammkanaka) 's Twitter Profile Photo

Kwa watanzania wote hasa waliokufa wakitetea nchi yao, Mwenyezi Mungu awape Pumziko la Amani na wagonjwa, majeruhi wote tunawaombea mpate hafueni mapema. Mko katika Maombi Yetu🙏❤️Ayubu 1:21.

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

mnajaribu kuwaelimisha as if they have heads unfollow, then block ... you don't need them they definitely don't need you either your good mental health is important in this moment stop traumatising yourself

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Sitaandika jambo lolote linalohusu burudani iwe football, muziki au suala lolote lenye mrengo huo kwa kipindi kisichopungua mwezi mmoja. Nitatumia muda huu katika kuzama kwenye tafakari kubwa na kusoma maandiko matakatifu.

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Ewe mwanadamu ambaye nawe hautaishi milele hapa duniani, ewe mwanadamu ambaye siku zako zinahesabika, tena uliumbwa kwa mavumbi na mavumbini utarudi, unawezaje kushangilia mambo mabaya yaliyowapata wanadamu wenzako? Unawezaje kukejeli na kudhihaki katika nyakati hizi?

Tinah Mamantilie~mantilie wa X🥰 (@tinahcristiaan) 's Twitter Profile Photo

Happy Birthday to me Tinamamantilie mgaa na upwa🤌 Toka miaka 20 napambana🥱 37 imenikuta Bado napambana Mungu ni mwema🙏🥰 Nna mengi ya kushuhudia lkn kikubwa Mungu ni mwema wakati wote. Mungu ana baki kuwa Mungu hata km hakujibu kile tulichomuomba🙏

Happy Birthday to me Tinamamantilie mgaa na upwa🤌
Toka miaka 20 napambana🥱
37 imenikuta Bado napambana Mungu ni mwema🙏🥰
Nna mengi ya kushuhudia lkn kikubwa Mungu ni mwema wakati wote.
Mungu ana baki kuwa Mungu hata km hakujibu kile tulichomuomba🙏