Angel Benard (@angelbenard) 's Twitter Profile
Angel Benard

@angelbenard

Music that heals.
Hope/ Love / Truth / God.
🇹🇿🇺🇲🇮🇱❤

Bookings: [email protected]

ID: 2849629623

linkhttp://bit.ly/AngelYoutube calendar_today29-10-2014 11:37:57

703 Tweet

2,2K Followers

214 Following

Angel Benard (@angelbenard) 's Twitter Profile Photo

Nitakutafuta Mapema, sitasubiri mambo yawe magumu ndipo nije kwako. Nitakuishia na kipiga hatua pamoja na wewe. Ili magumu yakija niwe na utulivu na kujua nipo pamoja na WEWE. #KiuYangu youtube.com/watch?v=gRITF9…

Angel Benard (@angelbenard) 's Twitter Profile Photo

✨✨✨✨✨ Ep ya album ya HALLELUJAH tayari inapatikana Boomplay. Ni maombi yangu kwamba nyimbo Hizi zituhudumie na kutupa hatua katika Imani. Blessings. boomplay.com/share/music/10…

Ma𝕏 Ayo (@maxayodotcom) 's Twitter Profile Photo

Karibu usikilize Album mypa ya rafiki yangu Angel Benard Ni matumaini yangu hizi nyimbo zitakubariki na kukuburudisha kila utakaposikiliza pamoja na watu wako wa karibu.

BoomplayTanzania (@boomplaytz) 's Twitter Profile Photo

Mwimbaji wa nyimbo za injili Angel Benard ameachia Ep inaitwa #Hallelujah🙏🏽 Exclusive kupitia App ya Boomplay. Bofya link ili kusikiliza Ep hii kisha share na marafiki zako ili uweze kubarikiwa❤️🙏🏽 Boom.lnk.to/AngelBenardHal… #HomeOfMusic

Mwimbaji wa nyimbo za injili <a href="/AngelBenard/">Angel Benard</a> ameachia Ep inaitwa #Hallelujah🙏🏽 Exclusive kupitia App ya Boomplay. 

Bofya link ili kusikiliza Ep hii kisha share na marafiki zako ili uweze kubarikiwa❤️🙏🏽 Boom.lnk.to/AngelBenardHal…

#HomeOfMusic
Real Life International Ministries (@find_reallife) 's Twitter Profile Photo

#Tbt Miaka minne iliyopita tuliandaa tukio letu la kwanza ambapo tulialika marafiki ili kuwashirikisha maono ya kugusa maisha ya watu. Tukio hili lilihudhuriwa marafiki mbalimbali akiwemo #GodwinGondwe (Aliyekuwa mgeni rasmi) Angel Benard Chris Mauki. PhD #HarrisKapiga na wengine.

#Tbt Miaka minne iliyopita tuliandaa tukio letu la kwanza ambapo tulialika marafiki ili kuwashirikisha maono ya kugusa maisha ya watu. Tukio hili lilihudhuriwa marafiki mbalimbali akiwemo #GodwinGondwe (Aliyekuwa mgeni rasmi) <a href="/AngelBenard/">Angel Benard</a> <a href="/Chris_Mauki/">Chris Mauki. PhD</a>  #HarrisKapiga na wengine.
Ma𝕏 Ayo (@maxayodotcom) 's Twitter Profile Photo

Angel Released a new album last month which is available exclusively on Boomplay Check it out 👉 boomplay.com/albums/54898602