Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF)
@alikimara
Our purpose is to raise awareness and advocate for the consideration and inclusion of children living with the rare diseases in health and education systems.
ID: 3556485735
05-09-2015 15:03:32
1,1K Tweet
1,1K Takipรงi
241 Takip Edilen
Currently, there are no established therapies for most of the RDs in Tanzania and for those with treatment, it is normally obtained from other countries, and it is generally expensive and out of reach for many patients. #RareDiseaseDay #ElimikaWikiendi Rare Disease Day
Namshukuru Ali Kimara, mtoto anayeishi na #UgonjwaAdimu kwa kunifundisha somo la matumaini. Sababu ya Ali nilijiunga na harakati za kupigania maslahi ya wanaoishi na magonjwa adimu kupitia taasisi ya Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF). Leo tunapoadhimisha #RareDiseaseDay2024 tunajivunia pamoja na Ali
We have to be aware of this๐๐ฏ #RareDiseaseDay Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF)
Taasisi ya AKRDF & MUHAS Muhimbili University tumeungana kuadhimisha Siku ya Magonjwa Adimu tarehe 29 Februari, saa 1 jioni. Taa za matumaini ziliwaka katika jengo la MUHAS, ikiwa ni ishara ya dhamira yetu ya kuendelea kushirikiana kuleta mwangaza kwenye utafiti wa magonjwa adimu.
Tafiti ndio chachu ya ujumuishwaji wa waishio na #magonjwaadimu nchini, Kwa waathirika na familia zao, hamkujichagua bali mmechaguliwa. #2024RareDiseaseDayTz Togolani Mavura Francis Furia Muhimbili University Rare Disease Day Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF) Wizara ya Afya Tanzania ๐น๐ฟ Wizara ya Elimu Tanzania Aysha Mbarak Al-Alawy
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha University of Dar es Salaam, Prof. Bernadeta Killian na ujumbe wake, wamekutana na watumishi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam walioko masomoni nchini Korea katika Ubalozi wa @TanzaniaInKorea jana. Ubalozi ulifarijika kuwaunganisha na kuwa sehemu ya mkutano
Kheri ya Kusherehekea siku yako ya Mfanano wa kuzaliwa Mdogo wangu Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF) , Mwenyezi Mungu Akupe Miaka Mingi Na Kheri Duniani. Wewe ni mmoja kati ya watu ambao Maisha yao hapa Duniani yamejaa hadithi nzuri sana inayoweza kusimuliwa kwa kila rika.
Sharifa ๐น๐ฟ Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF) ni kielezo cha nguvu ya matumaini, subira na imani katika maisha. Maisha yako ni sauti na alama ya mapambano ya wahanga wa #RareDiseases. Kupitia harakati zako, leo watoto wenye #RareDiseases wanasajiliwa na kuruhusiwa kusomea elimu yao wakiwa nyumbani. Heri ya siku