Agent International (@agentinter) 's Twitter Profile
Agent International

@agentinter

Wataalamu wa Kuagiza Vitu kutoka CHINA ,USA,SA DUBAI Ndani ya Siku 7 Tu
AIR & SEA SHIPPING
LOGISTIC MPAKA MIKOANI NA NCHI ZA JIRANI
Taste the difference 😋

ID: 1658181736260329473

linkhttps://bit.ly/m/AgentInternational calendar_today15-05-2023 18:45:34

504 Tweet

161 Followers

41 Following

𝐆𝐚𝐯𝐢𝐧𝐝𝐞 💎 (@techygaspar) 's Twitter Profile Photo

Kwa hiyo Leo nifanye kazi kwa miaka 45 nikidunduliza hela zangu halafu baadae nikistaafu wanipangie matumizi Kama wazazi wangu nife niwaachie hela si ndio cycle ilivyo wakuu....

Agent International (@agentinter) 's Twitter Profile Photo

Leo pia unamachaguzi mengi ya kutimiza hatma yako duniani.. Usiweke matarajio yako kwa watu kwa kuwa watu hubadilika kila wakatii .. Watu wawe ndio chombo Cha kukufukisha unapotaka lakini sio wao ndio waamuwe wewe utakuwa Nini siku za usoni.

Agent International (@agentinter) 's Twitter Profile Photo

Juzi nilikuwa natembea kwenye maeneo ya Kigamboni pale mwanzo mwanzo baada ya feri kwa mliowahi kupita pale yule jamaa anayeuza supu mnauhakika yule ni pweza kweli?

Agent International (@agentinter) 's Twitter Profile Photo

Kuna watu Wanatoka nyumbani kwa nguvu kwa kufosi bila baraka za wazazi mara nyingi huwaga wanateseka sana kwenye utafutaji! Baraka kutoka kwa wazazi ni muhimu san kuliko kujiondokea kwa kusema mzazi ni maskini hawezi nipa chochote

Agent International (@agentinter) 's Twitter Profile Photo

Rafiki yangu wa China aliwahi kuniambia ni kwanini wanapendelea vitu Vya asili .. Aliniambia ukila mfano supu ya nyoka Kuna namna unaongeza uwezo wa kufikiria.. Sijui ni kwanini sikumrekodi Ili mniamini ila najua mmenielewa kitu namaanisha wanangu wa singida na Iringa.

Agent International (@agentinter) 's Twitter Profile Photo

Ulipo zaliwa hukuwa unajua jema wala baya hukujua kumwambia mama unaumwa wala unasikia njaa,mama yako ndo alisimama kama mtafsiri wa hisia zako tunakumbushana siri ya MAFANIKIO ni baraka za wazazi wako

Niffer (@jniffer_) 's Twitter Profile Photo

X naombeni ushauri 😢 nimeenda ukweni kwa bahati mbaya mtoto wa dadaake bupe amemwagia laptop yangu maji nimpige au nimwache??

X naombeni ushauri 😢

nimeenda ukweni kwa bahati mbaya mtoto wa dadaake bupe amemwagia laptop yangu  maji nimpige au nimwache??
Eddo (@eddo142) 's Twitter Profile Photo

NAOMBA REPOST YAKO 🙏 HP ProBook 11 G3 Ram 4 Ssd 128gb Procesor 1..-2.3ghz Battery 3h Offer ✳️Mouse ✳️Flash ✳️ window Installations Price 390,000 Call +255685661089 Follow 𝐆𝐚𝐯𝐢𝐧𝐝𝐞 💎 for more

NAOMBA REPOST YAKO 🙏

HP ProBook 11 G3

Ram 4

Ssd 128gb

Procesor 1..-2.3ghz

Battery 3h

Offer 

✳️Mouse

✳️Flash

✳️ window Installations

Price 390,000

Call +255685661089

Follow <a href="/techygaspar/">𝐆𝐚𝐯𝐢𝐧𝐝𝐞 💎</a> for more
Eddo (@eddo142) 's Twitter Profile Photo

NAOMBA REPOST YAKO 🙏🏾 Hp Zbook Studio g3 ✳️Corei7 ✳️Generation 6 Max turbo boost 4.2ghz ✳️Ram 16 ✳️Ssd 512 ✳️Touchscreen CPU 8 ☣️NVIDIA Quadro M1000M ✅ Dedicated 4gb ✅Shared 8gb Total memory 12Gb ‼️‼️Price 1,490,000‼️‼️ Call / Watsapp +255685661089 Follow 𝐆𝐚𝐯𝐢𝐧𝐝𝐞 💎

NAOMBA REPOST YAKO 🙏🏾

Hp Zbook Studio g3

✳️Corei7

✳️Generation 6

Max turbo boost 4.2ghz

✳️Ram 16

✳️Ssd 512

✳️Touchscreen 

CPU 8
☣️NVIDIA Quadro M1000M
✅ Dedicated 4gb
✅Shared 8gb
Total memory 12Gb
‼️‼️Price 1,490,000‼️‼️

Call / Watsapp +255685661089
Follow <a href="/techygaspar/">𝐆𝐚𝐯𝐢𝐧𝐝𝐞 💎</a>
Agent International (@agentinter) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume ata apewe wanawake 90 achague Mmoja mzuri kuliko wote Bado ataumia sana kuwaacha wale 89 waliobaki. Mungu awabariki sana Wanaume kwa upendo huu.✊🏾

Eddo (@eddo142) 's Twitter Profile Photo

NAOMBA REPOST YAKO 🙏 DELL LATITUDE 3189 Intel Celeron Ram 4 Ssd 128Gb Processor 2.3Ghz ✴️Generation 6 Screen 13.5Inch ✴️ Touchscreen -->X360 Price380,000 ☣️☣️OFFER☣️☣️ ✴️MOUSE ✴️EARPODS ✴️ INSTALLATION CALL/WATSAPP +255685661089 FOllow 𝐆𝐚𝐯𝐢𝐧𝐝𝐞 💎

NAOMBA REPOST YAKO 🙏

DELL LATITUDE 3189

Intel Celeron 

Ram 4

Ssd 128Gb

Processor 2.3Ghz

✴️Generation 6

Screen 13.5Inch

✴️ Touchscreen --&gt;X360

Price380,000

☣️☣️OFFER☣️☣️

✴️MOUSE
✴️EARPODS
✴️ INSTALLATION 

CALL/WATSAPP +255685661089

FOllow <a href="/techygaspar/">𝐆𝐚𝐯𝐢𝐧𝐝𝐞 💎</a>
kacha (@gallanemma) 's Twitter Profile Photo

SIO LAZIMA COMPUTER Nmeandaa list ya App / Site za kuandaa cv kwa kutumia smartphone yako buree. Kwa kufuata maelekezo rahisi ya nn ujaze Repost Comment. "Kacha" Natuma DM kwako chapu

SIO LAZIMA COMPUTER 

Nmeandaa list ya App / Site za kuandaa cv kwa kutumia smartphone yako buree. 

Kwa kufuata maelekezo rahisi ya nn ujaze

Repost 

Comment. "Kacha"

Natuma DM kwako chapu