Abraham Kasango(@AbrahamKasango) 's Twitter Profile Photo

Ni hivi itakavyokuwa, wamasai watarudi na mwisho wa Mwarabu utakuwa umefika, kila mtu atawale kwake kwa amani hakuna cha kulazimishana, endeleeni kula hiyo hela mtakuja kuitapika, hatutojali ulikuwa na cheo gani

account_circle
Abraham Kasango(@AbrahamKasango) 's Twitter Profile Photo

Inafurahisha sana pale wakishindwa wanamkimbilia huyu mzee na kujifanya walikuwa wafuasi wake, huku matendo yao yakiwaonesha kuwa WAFITINI, sio huyu aliyesema watu wanajiteka? Huyu ni mbuni anaficha kichwa chini kufikiri shida zitaondoka, BEPARI ni bepari haijalishi rangi

account_circle
Abraham Kasango(@AbrahamKasango) 's Twitter Profile Photo

Hayo ndio maisha ndani ya mafisiemu, leo waziri kesho dalali haramu wa viwanja, jifunze kuishi na watu vizuri na tunza hela yako kuna KESHO KUTWA

account_circle
Abraham Kasango(@AbrahamKasango) 's Twitter Profile Photo

Ikiwa MZ angeuza bandari ya Zanzibar na kugawa ardhi ya Pemba (si ina wapinzani wengi) wazanzibari wangetoa hoja gani juu ya hilo?

account_circle
Abraham Kasango(@AbrahamKasango) 's Twitter Profile Photo

Mh. Mpina haoni watu wanaopotea na kupotezwa? Au maisha ya wengine hayana thamani? Akusanye taarifa zote ajitokeze kutangaza kutafutiwa HAKI kwa waathirika

account_circle
Abraham Kasango(@AbrahamKasango) 's Twitter Profile Photo

Yanaanza kutoka mafichoni na maporini, majaribio yameanza kufanyika, msikae kuzubaa LINDANENI mpaka WAJULIKANE!

account_circle
Abraham Kasango(@AbrahamKasango) 's Twitter Profile Photo

Yamenza kutembea vifua MBERE tena baada ya kumuona mwenzao kapata cheo uRC tena baada ya kusota, wasiojulikana wameanza yao, MSIPOLINDANA mmeisha!

account_circle
Abraham Kasango(@AbrahamKasango) 's Twitter Profile Photo

Peter Madeleka Hamna shida, Azory, Ben, Akwilina, na jaribio la TL yote yachunguzwe, tuthamini uhai wa watanzania wote na sio wa kiongozi mmoja mmoja, ningependa kusikia maneno toka kwake akizungumzia miili iliyokuwa inaokotwa baharini pia

account_circle
Abraham Kasango(@AbrahamKasango) 's Twitter Profile Photo

George RadioGenoa If you listen to all of it, you'll understand there was something, and he was right to ask for a supervisor, was it a random check? No, it was your typical profiling approach, and maybe its in your head frn

account_circle