ALLY MAGANGA(@AMaganga1879) 's Twitter Profileg
ALLY MAGANGA

@AMaganga1879

ID:1708453546213945344

calendar_today01-10-2023 12:07:55

184 Tweets

93 Followers

0 Following

EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Pep Guardiola ameshinda taji la UEFA Champions league mara ngapi?

Dondosha comment yako hapo chini, majibu utapata kwenye kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11:00 jioni EATV.

#QUIZ: Pep Guardiola ameshinda taji la UEFA Champions league mara ngapi? Dondosha comment yako hapo chini, majibu utapata kwenye #5SELEKT kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11:00 jioni EATV. #QUIZ #DONDOO #EastAfricaTV
account_circle
TBCOnline(@TBConlineTZ) 's Twitter Profile Photo

Zifahamu kamouni 10 zenye uwekezaji mkubwa duniani 2024

Kwa mujibu wa tathmini ya jumla ya thamani ya masoko ya kampuni “Market Cap”zifuatazo ni kampuni 10 zenye uwekezaji wa mitaji mikubwa zaidi duniani kwa mwaka 2024.

👇🏼👇🏼👇🏼

instagram.com/p/C554W57tPKO/…

Zifahamu kamouni 10 zenye uwekezaji mkubwa duniani 2024 Kwa mujibu wa tathmini ya jumla ya thamani ya masoko ya kampuni “Market Cap”zifuatazo ni kampuni 10 zenye uwekezaji wa mitaji mikubwa zaidi duniani kwa mwaka 2024. 👇🏼👇🏼👇🏼 instagram.com/p/C554W57tPKO/…
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Siku moja baada ya mitandao ya millardayo kuripoti tukio la kuanguka kwa jengo la ghorofa mbili katika eneo la Magogoni Jijini Dar es Salaam na kupelekea kifo cha Fundi Omary, Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezielekeza Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), Bodi ya Usajili wa…

Siku moja baada ya mitandao ya millardayo kuripoti tukio la kuanguka kwa jengo la ghorofa mbili katika eneo la Magogoni Jijini Dar es Salaam na kupelekea kifo cha Fundi Omary, Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezielekeza Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), Bodi ya Usajili wa…
account_circle
Chama Cha Mapinduzi(@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameonya kauli za vitisho na kuwataka wanachama wa CCM kuendelea kudumisha umoja kama ilivyo desturi ya CCM na kuepuka mifarakano.

account_circle
Kipanga(@Kipanga1986) 's Twitter Profile Photo

Ukiachilia mbali taarifa zenye ukweli na uhakika, jambo lengine hii Media inatufuhisha sana na kutafanya tuongeze furaha ya maisha, Sasa hao waliokamata tumbo ndio wachaga wenzake ama ndio nani?😀😀😀

Ila ukweli ni kwamba kwa vijana waliokupo pale CDM, wasahau kushika madaraka

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Viongozi wa upinzani nchini Kenya wametishia kuungana na Madaktari katika maandamano, ili kushinikiza serikali kushughulikia malalamiko ya wahudumu wa afya wanaoendelea kugoma kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa.

cc Gerald Michael Nyang'ali

account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aliitisha kikao cha dharura cha Baraza la Mawaziri usiku wa kuamkia leo.

Naye Rais Joe Biden wa Marekani aliitisha kikao cha dharura cha maafisa wa usalama ili kujadili hali ya hatari inayoendelea.

Rais Biden ameihakikishia Israel…

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aliitisha kikao cha dharura cha Baraza la Mawaziri usiku wa kuamkia leo. Naye Rais Joe Biden wa Marekani aliitisha kikao cha dharura cha maafisa wa usalama ili kujadili hali ya hatari inayoendelea. Rais Biden ameihakikishia Israel…
account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Klabu ya Singida Fountain Gate FC imetoa taarifa ya kusikitishwa na kitendo cha mchezaji wake Beno Kakolanya kutoroka kambini wakati klabu hiyo ikikabiliwa na mchezo muhimu kabisa dhidi ya Yanga leo.

Taarifa ya Singida Fontaine Gate FC imebainisha kuwa kitendo hicho kimeleta…

Klabu ya Singida Fountain Gate FC imetoa taarifa ya kusikitishwa na kitendo cha mchezaji wake Beno Kakolanya kutoroka kambini wakati klabu hiyo ikikabiliwa na mchezo muhimu kabisa dhidi ya Yanga leo. Taarifa ya Singida Fontaine Gate FC imebainisha kuwa kitendo hicho kimeleta…
account_circle