Emanuel uledi@mtoto wa Mama Samia (@9c252dc22e44430) 's Twitter Profile
Emanuel uledi@mtoto wa Mama Samia

@9c252dc22e44430

Dkt! Samia Suluhu Hassan 2025 -2030

ID: 2617931141

calendar_today17-06-2014 18:09:18

1,1K Tweet

216 Followers

1,1K Following

Emanuel uledi@mtoto wa Mama Samia (@9c252dc22e44430) 's Twitter Profile Photo

Hongera Sana Kaka Jina Halijarudi ila wakubwa wamekuona" "Comred usikate Tamaa na Chama Chetu Mapambano yaendelee" "Kada umejenga Cv kubwa na uthubutu wako Kuchukua Fomu sii wa kubezwa" "Kaka Mkubwa Naona Wakubwa wameona wasirudishe jina lako ila watakutumia eneo lingine"

Emanuel uledi@mtoto wa Mama Samia (@9c252dc22e44430) 's Twitter Profile Photo

Mzee Freeman Mbowe anapaswa kuwepo kwenye List ya Watoa Salamu za Rambirambi Msiba wa Spika Ndugai.. Walifanya kazi kwa karibu sana akiwa kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni..!! ๐Ÿ˜Š

Emanuel uledi@mtoto wa Mama Samia (@9c252dc22e44430) 's Twitter Profile Photo

Ningelipata Nafasi ya kumshauri pamoja na kuwa Bado ana msiba mkubwa Ningemshauri Mtoto wa Hayati Job Ndugai Kijana Msomi Dr Yustino Ndugai amrithi Baba yake Ubunge kongwa

Ningelipata Nafasi ya kumshauri pamoja na kuwa Bado ana msiba mkubwa 
Ningemshauri Mtoto wa Hayati Job Ndugai Kijana Msomi Dr Yustino Ndugai amrithi Baba yake Ubunge kongwa
Emanuel uledi@mtoto wa Mama Samia (@9c252dc22e44430) 's Twitter Profile Photo

PICHA RASMI YA KAMPENI YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI ,DKT SAMIA SULUHU HASSAN KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE OKTOBA TUNATIKI โœ…

PICHA RASMI YA KAMPENI YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI ,DKT SAMIA SULUHU HASSAN 

KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE 
OKTOBA TUNATIKI โœ…
Emanuel uledi@mtoto wa Mama Samia (@9c252dc22e44430) 's Twitter Profile Photo

Tunaahidi kukamilisha miradi ya maji ya muda mfupi eneo la kihonda, Lukobe, mkundi, mindu na kinguluila ambapo itaongeza upatikanaji wa maji ili maji yapatikane" Rais Samia Suluhu Hassan

Emanuel uledi@mtoto wa Mama Samia (@9c252dc22e44430) 's Twitter Profile Photo

Naam naam Balozi Dkt. Bashiru anatoa shule na ufafanuzi mbele ya wana CCM katika Mkutano wa Kampeni hapo Singida ๐Ÿ”ฅ Anasema anapenda kujibishana hoja na mtu anayeonekana(ana kwa ana)๐Ÿ˜€

Emanuel uledi@mtoto wa Mama Samia (@9c252dc22e44430) 's Twitter Profile Photo

๐—ž๐—œ๐—ฆ๐—›๐—œ๐—ก๐——๐—ข ๐—–๐—›๐—” ๐——๐—ž๐—ง. ๐—ฆ๐—”๐— ๐—œ๐—” ๐—ก๐——๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐—•๐—”๐—›๐—” ๐—–๐—›๐—”๐—ฃ๐—ข๐—ž๐—˜๐—Ÿ๐—˜๐—ช๐—” ๐—ž๐—ช๐—” ๐—ฆ๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—ช๐—˜ Tayari Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฆ๐˜‚๐—น๐˜‚๐—ต๐˜‚ ๐—›๐—ฎ๐˜€๐˜€๐—ฎ๐—ป .

๐—ž๐—œ๐—ฆ๐—›๐—œ๐—ก๐——๐—ข ๐—–๐—›๐—” ๐——๐—ž๐—ง. ๐—ฆ๐—”๐— ๐—œ๐—” ๐—ก๐——๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐—•๐—”๐—›๐—” ๐—–๐—›๐—”๐—ฃ๐—ข๐—ž๐—˜๐—Ÿ๐—˜๐—ช๐—” ๐—ž๐—ช๐—” ๐—ฆ๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—ช๐—˜

Tayari Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฆ๐˜‚๐—น๐˜‚๐—ต๐˜‚ ๐—›๐—ฎ๐˜€๐˜€๐—ฎ๐—ป .