781Neece (@781neece) 's Twitter Profile
781Neece

@781neece

Footballer

ID: 1555836493393977350

calendar_today06-08-2022 08:42:20

911 Tweet

93 Followers

243 Following

Man Like Suleโ„ข (@maichagange) 's Twitter Profile Photo

Maumivu mengine makubwa, ni kuona umri wako unasogea na hakuna hatua yeyote unayopiga kimaisha.. Mungu atufanyie wepesi๐Ÿฅฒ๐Ÿ™

Maumivu mengine makubwa, ni kuona umri wako unasogea na hakuna hatua yeyote unayopiga kimaisha..

Mungu atufanyie wepesi๐Ÿฅฒ๐Ÿ™
781Neece (@781neece) 's Twitter Profile Photo

Siwez kuspecify kiasi cha mtaaji lkn inahitaji mtaji mkubwa ili kupata faida lkn angalau ukiwa na 5M unaweza Anza japo sio nafaka zote kila nafaka inamtaji wake na sio kila eneo hivo akihtaji kujua lazima azingatie baadhi ya mambo

781Neece (@781neece) 's Twitter Profile Photo

Fucking afrika miongoni mwa mindset set za kisenge kuwahi kutokea wazaz Wana miaka sabin Wana demand uwajengeee hata kabla hujajengeaa Maisha watoto wako wenye miaka miwili afrika tutabaki kama vichekesho Tu na wazaz wetu walivowabinafsi wanakubali kabisa uwajengeee kbl ya wjkuu

781Neece (@781neece) 's Twitter Profile Photo

Ni kweli lkn biashara ya mazao pia ina risk nying miongoni mwa risk kubwa ni kudhurumiwa sema humu kwa kuwa tunalishana mazingara hatuwez zuia maoni

781Neece (@781neece) 's Twitter Profile Photo

Kwa aliye wahi ifanya biashara ya mazao ataelewa asee hii biashara ina asilimia kubwa Sana ya kupigwa changa Mzee usipokuwa makin dalali anakupig kama sio dalali bas mteja wako kifupi ukiinama nchali ukiinuka unalo