J_the_Future (@4_the_future) 's Twitter Profile
J_the_Future

@4_the_future

ID: 1137763061140508672

calendar_today09-06-2019 16:47:07

626 Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

∆bby Mêxæhnk Msangi (@abbymexahnk) 's Twitter Profile Photo

THREAD Maswali ya Kwenye INTERVIEW ya Mitego 1. TELL US ABOUT YOURSELF (Hizi Info Zipo kwenye CV Yako sema anataka kukuskia Kutoka kwako) Apa Ukisema tu jina lako na Umesoma wapi Ni Tatizo Jibu: A. Your Name , B. Your Place Information ( Sio Lazima saana), C. Edu Back Ground

Arafat Ally Haji (@arafat__ah) 's Twitter Profile Photo

Hatuwezi kuwa bora kwa kuwashusha wengine, hatuwezi kufanikiwa kwa kuwazibia wengine, hatuwezi kuwa na amani kwa kuwakosesha wengine furaha, tusifanye makosa ya kuamini rizki zetu zinazibwa na Mtu mwingine. Wakati mwingine mtu mmoja unayetaka aanguke ana watu zaidi ya 20 nyuma

Arafat Ally Haji (@arafat__ah) 's Twitter Profile Photo

Daima utambulisho wako kwa BOSS wako uwe kazi yako, ukaribu wenu utokane na matunda ya kazi yako, maneno na kujipendekeza huisha ila kazi na weledi husalia kama Mtetezi wako daima.

LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

Kuna mtu ana Unyonge sana baada ya kuona amefungua ofisi, tangu alipie Kodi mpaka Leo anaelekea kulipa Kodi nyingine anaona Hana faida aliyoingiza. Nataka nikuoneshe CHANGAMOTO ambazo hutokea wakati wa founding pamoja na SOLUTIONS za kukusaidia kutoka hapo! Itunze post hii 🧵👇🏾

Kuna mtu ana Unyonge sana baada ya kuona amefungua ofisi, tangu alipie Kodi mpaka Leo anaelekea kulipa Kodi nyingine anaona Hana faida aliyoingiza.

Nataka nikuoneshe CHANGAMOTO ambazo hutokea wakati wa founding pamoja na SOLUTIONS za kukusaidia kutoka hapo!

Itunze post hii 🧵👇🏾
Babu (@zeelakudisi) 's Twitter Profile Photo

Kwanza hiyo tabia ya kutaka watu wakuonee huruma achana nayo kabisa kwasababu kila binadamu hujijali yeye mwenyewe kisha ndio hutizama mwengine. Dunia haiwathamini kabisa watu wenye kulaumu laumu wenzao au mamlaka. Fanya kwa upande wako sio lazima usaidiwe kufanya. Kwenye maisha

Kwanza hiyo tabia ya kutaka watu wakuonee huruma achana nayo kabisa kwasababu kila binadamu hujijali yeye mwenyewe kisha ndio hutizama mwengine.

Dunia haiwathamini kabisa watu wenye kulaumu laumu wenzao au mamlaka. Fanya kwa upande wako sio lazima usaidiwe kufanya. Kwenye maisha
Mankakidoti (@mankadolly) 's Twitter Profile Photo

Swahili Times Baggy jeans zipo Size 30-38 Bei :35000 Simu:0692608572 Manyema kkoo Mikoani na nchi jirani tunatuma Dar tunafanya delivery Naomba nisaidie kurepost

<a href="/swahilitimes/">Swahili Times</a> Baggy jeans zipo
Size 30-38
Bei :35000
Simu:0692608572 
Manyema kkoo
Mikoani na nchi jirani tunatuma
Dar tunafanya delivery
Naomba nisaidie kurepost
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Kabla sijaanza Siku Kwa mikeka, naomba mnipe Repost 400 za kuanzia siku. Hoja za MH hazihitaji kujielezea sana huku mitandaoni. Gonga Repost Iwafikie WAJUMBE wa mkutano mkuu CHADEMA kuwa mitaa inamtaka LISU.✅ RRPOST 400.🔥🔥

Kabla sijaanza Siku Kwa mikeka, naomba mnipe Repost 400 za kuanzia siku.

Hoja za MH hazihitaji kujielezea sana huku mitandaoni. Gonga Repost Iwafikie WAJUMBE wa mkutano mkuu CHADEMA kuwa mitaa inamtaka LISU.✅

RRPOST 400.🔥🔥
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Tuna mnadi TUNDU LISSU kwasababu ndie mwenye Ushawishi kwenye jamii kwasasa katika SIASA. Tunamnadi TUNDU LISSU kwasababu ya hotuba yake iliyobeba maono ya mbele ya CHAMA na taifa kwa ujumla. Tunamnadi TUNDU LISSU kwababu ndie kiongozi asie HONGEKA (HANA BEI), kwa kipindi cha

Tuna mnadi TUNDU LISSU kwasababu ndie mwenye Ushawishi kwenye jamii kwasasa katika SIASA.

Tunamnadi TUNDU LISSU kwasababu ya hotuba yake iliyobeba maono ya mbele ya CHAMA na taifa kwa ujumla.

Tunamnadi TUNDU LISSU kwababu ndie kiongozi asie HONGEKA (HANA BEI), kwa kipindi cha
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA nakuja mbele zenu kijana wenu kumuombea kira LISSU awe mwenyekiti wa CHADEMA 2024-2029. Mwaka 2025 ni mwaka wa uchaguzi mkuu Tanzania, tunahitaji kuwaondoa WAKOLONI WEUSI madarakani kwa namna yeyote ile. Kuongeza morari ya mapambano haya

Wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA  nakuja mbele zenu kijana wenu kumuombea kira LISSU awe mwenyekiti wa CHADEMA 2024-2029.

Mwaka 2025 ni mwaka wa uchaguzi mkuu Tanzania, tunahitaji kuwaondoa WAKOLONI WEUSI madarakani kwa namna yeyote ile. Kuongeza morari ya mapambano haya
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

HAKI IMESHINDA.✅ Hizi ni salamu kuelekea 21/1 watu wanataka MABADILIKO. Hongera sana WAKILI MSOMI Deogratias Mahinyila Naomba Repost 400 za SHWANGWE🔥🔥

HAKI IMESHINDA.✅

Hizi ni salamu kuelekea 21/1 watu wanataka MABADILIKO.

Hongera sana WAKILI MSOMI <a href="/AdvMahinyila/">Deogratias Mahinyila</a> 

Naomba Repost 400 za SHWANGWE🔥🔥