Charles William (@2charleswilliam) 's Twitter Profile
Charles William

@2charleswilliam

Journalist and Mass communication practitioner| Social and Political issues analyst| Works at Wasafi FM & Wasafi TV| Views are mine!

ID: 3007400717

calendar_today31-01-2015 10:19:32

525 Tweet

5,5K Followers

497 Following

Charles William (@2charleswilliam) 's Twitter Profile Photo

Mdau wa Kiswahili, Joram Nkumbi anashauri Kiswahili kitumike kama lugha ya kufundishia mpaka kidato cha nne ili vijana wapate maarifa zaidi badala ya kukariri vitu bila kuvielewa:

Charles William (@2charleswilliam) 's Twitter Profile Photo

Nimezungumza mambo mengi na Sheikh Ponda Issa Ponda kupitia One on One with Charles William, unaweza kutazama mahojiano kamili hapa youtu.be/aOxPVRLXWIA?si…

Charles William (@2charleswilliam) 's Twitter Profile Photo

Kanuni kuu ya kuwa MUONGO MAHIRI ni KUTOKUA MSAHAULIFU. Kwa lugha nyingine; unakua muongo mpaka wewe mwenyewe unauamini huo uongo kuwa ndio ukweli. Lakini wakati unafanya hivyo, kumbuka Amri Kuu za Mungu, amri ya 9 ni ā€œUsiseme Uongoā€.

Charles William (@2charleswilliam) 's Twitter Profile Photo

Sasa Mzee wangu Hashim Rungwe ataenda kuongeza idadi ya wagombea katika uchaguzi. Hali ilikua ngumu sana kwake kama alivyonieleza katika mahojiano ya One on One kupitia WasafiTv

Charles William (@2charleswilliam) 's Twitter Profile Photo

Kwenye One On One wiki hii nilikua na Katani Ahmed Katani, Mbunge wa Tandahimba 2015 - 2025. Mahojiano kamilišŸ‘‡ youtu.be/WNLGnasnQ0Y?si…

Charles William (@2charleswilliam) 's Twitter Profile Photo

Mahojiano na Katani Ahmed Katani, Aliyewania Ubunge kupitia CUF 2010, na kisha kushinda ubunge kupitia CUF (2015-2020), na baadae kushinda kupitia CCM (2020 - 2025). youtu.be/WNLGnasnQ0Y?si…