MITIKASI STORE (@26baiser) 's Twitter Profile
MITIKASI STORE

@26baiser

WHATSAPP/NORMAL CALL
0745313165/0654682545
Karibu Tukuhudumie
DELIVERY
Popote Tunatuma nje na ndani ya DAR ES SALAAM

ID: 1511753998755418117

calendar_today06-04-2022 17:14:02

15,15K Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

MITIKASI STORE (@26baiser) 's Twitter Profile Photo

Kwa watanzania wote hasa waliokufa wakitetea nchi yao, Mwenyezi Mungu awape Pumziko la Amani na wagonjwa, majeruhi wote tunawaombea mpate hafueni mapema. Mko katika Maombi Yetu🙏❤️Ayubu 1:21.

MITIKASI STORE (@26baiser) 's Twitter Profile Photo

Sema sisis Wabongo Wabinafsi Sana Kuna Wenzetu Wamekufa Kwa ajili Ya kesho Yetu Lakin kuna watu Hawana hata habari!! Daaah

Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

DIZASATA VINA ~ MWANASESERE 🎶🔥 👉🏽Picha linaanza kwa kunukuliwa kwa Mdada aliye tayari kufanya kila kitu kwajili ya kuthibitisha kuwa "Uzuri ni bidhaa" hivo inapaswa kununuliwa. Anaenda mbali na kuinadi bidhaa yenyewe kwa kutaja vitu vinavyoweza kuifanya iwe bora zaidi UZI🍿

DIZASATA VINA ~ MWANASESERE 🎶🔥

👉🏽Picha linaanza kwa kunukuliwa kwa Mdada aliye tayari kufanya kila kitu kwajili ya kuthibitisha kuwa "Uzuri ni bidhaa" hivo inapaswa kununuliwa.

Anaenda mbali na kuinadi bidhaa yenyewe kwa kutaja vitu vinavyoweza kuifanya iwe bora zaidi

UZI🍿