SIMBA BINGWA 2024(@1960Remija) 's Twitter Profileg
SIMBA BINGWA 2024

@1960Remija

GOD | Faith | Family | Ligi Kuu | Zilipendwa | Mwenyekiti | Yanga | Man United | Real Madrid | Mamelodi | Sebene & Rhumba | Tour Agent | Tweets Are My Opinions.

ID:366866222

linkhttp://manutd.com calendar_today02-09-2011 23:50:30

93,6K Tweets

84,4K Followers

567 Following

Follow People
SIMBA BINGWA 2024(@1960Remija) 's Twitter Profile Photo

Mjumbe namba 1 & 2 walipopinga kuhusu kuhonga ili washinde mechi na badala yake walishauri pesa wapewe motisha wachezaji, yakatokea mabishano ya dakika kadhaa, tajiri akaapa na kusema pesa yangu siwezi kuwapa wachezaji MIZIGO, ni mara mia nitafute maarifa nje ya uwanja. ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ

account_circle
SIMBA BINGWA 2024(@1960Remija) 's Twitter Profile Photo

Unahitaji uwe na roho ngumu kuwapambanisha viongozi wa hizi timu timu, kuna picha moja inatoa tafsiri ya uongozi na usimamizi, kuna picha nyingine inatoa tafsiri ya stand up comedy. Yanga wanakaribia kumaliza mchakato wa mfumo wa mabadiliko ila wenzetu hawajui waliishia wapi? ๐Ÿ˜‚

Biubwa Omar(@shinelady) 's Twitter Profile Photo

We are pleased to inform you that we have been nominated for the World Travel Awards
Vote for *SAFARI Gateway* as Tanzania's Leading Safari Company 2024
&
Zanzibar Leading Tour Operator 2024

'Your vote will not only recognize excellence but also motivate us to continue servingโ€ฆ

We are pleased to inform you that we have been nominated for the World Travel Awards Vote for *SAFARI Gateway* as Tanzania's Leading Safari Company 2024 & Zanzibar Leading Tour Operator 2024 'Your vote will not only recognize excellence but also motivate us to continue servingโ€ฆ
account_circle
SIMBA BINGWA 2024(@1960Remija) 's Twitter Profile Photo

Kambi mliweka Uturuki, Yanga tukasimangwa kubaki Avic Town, mkasema mmetuibia mchezaji Airport, yaani mchezaji atoke huko aje kuibiwa Airport na mashabiki wenu wakaamini, mkashinda mechi 5 mfululizo za ligi na wachambuzi wakawapa ubingwa, andaeni timu hamtaki, mnataka shortcut ๐Ÿ˜‚

Nimeomba kuvaa mabomu niweke mambo hadharani wamenigomea, kuna binadamu wana hekima sana hii dunia. Tajiri alikosa watu wa kuwatuma akaamua kwenda front mwenyewe? Watu wana ujasiri sana asee. ๐Ÿ™Œ๐Ÿป

account_circle
SIMBA BINGWA 2024(@1960Remija) 's Twitter Profile Photo

Kama ningekua ni kiongozi wa Yanga muda huu ningewaambia wachezaji waliotafutwa kuhujumu waweke ushahidi hadharani na namba ya mhusika waanike. Mambo ya busara yangekuja baadae. Ovyo kabisa.

account_circle
SIMBA BINGWA 2024(@1960Remija) 's Twitter Profile Photo

Tajiri anaejinasibu yupo 30 bora Afrika, anashindwa kufanya usajili na kuanza kusumbua kambi ya Mtani wake ili wapange matokeo, tukisema tuache janja janja hamtuelewi, mpira hauna shortcut, wekezeni na wekeni watu wa mpira. Tupo kambini hapa tunasoma msg/simu zako. TAKUKURU mpo?

account_circle
SIMBA BINGWA 2024(@1960Remija) 's Twitter Profile Photo

Kambi ya Makolo imeachwa kwenye mikono salama ya Given Edward na bwana Thabit Jacob, PhD , inasemekana Benchikha bado yupo benchi pale CCM Liti Singida. Don Miguel Gamondi ajiangalie sana kwa hawa wahuni. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

account_circle
SIMBA BINGWA 2024(@1960Remija) 's Twitter Profile Photo

Mamelodi tangu wafanye utapeli wa lile goli hakuna mechi wamecheza kwa amani, wakae chini wamalize tofauti na cleansheet. Ni kama Makolo tangu zile 5-1 dish limeyumba mpaka leo. ๐Ÿค

account_circle