02beny (@02beny1) 's Twitter Profile
02beny

@02beny1

A football player,

ID: 1581920543003090944

calendar_today17-10-2022 08:10:51

398 Tweet

641 Followers

614 Following

Kabigwa_Afya💊 (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

"WANAWAKE WENGI WANAPATA MIMBA ZISIZOTARAJIWA KWA KUKOSEA KUHESABU SIKU ZA HEDHI! UKO SAHIHI KWELI?" Hivi unajua kwamba wanawake wengi wanahesabu vibaya siku zao za hedhi? ⚠️ Baadhi yao hujikuta wanapata mimba bila kutarajia kwa sababu hawajui siku zao hatari! — Wengine

"WANAWAKE WENGI WANAPATA MIMBA ZISIZOTARAJIWA KWA KUKOSEA KUHESABU SIKU ZA HEDHI!  UKO SAHIHI KWELI?"

Hivi unajua kwamba wanawake wengi wanahesabu vibaya siku zao za hedhi? 

⚠️ Baadhi yao hujikuta wanapata mimba bila kutarajia kwa sababu hawajui siku zao hatari!

— Wengine
James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI 💨ZINGATIA HAYA UNAPONUNUA SIMU MWAKA 2025 Usinunue kwa jina la brand – nunua kwa maarifa Kumekuwa na matoleo mengi sana ya simu 2024-2025 je unapaswa kuzingatia nini unapotaka kununua simu 2025? Shuka na uzi🧵👇 Usisahau ku repost 🔄 ufike mbali

#UZI

💨ZINGATIA HAYA UNAPONUNUA SIMU MWAKA 2025

Usinunue kwa jina la brand – nunua kwa maarifa
Kumekuwa na matoleo mengi sana ya simu 2024-2025  je unapaswa kuzingatia nini unapotaka kununua simu 2025?

Shuka na uzi🧵👇

Usisahau ku repost 🔄 ufike mbali
Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

Matunda na Asali Sio Adui Yako— Uongo Unaokuibia Afya Bila Kujua..! Leo nataka kuokoa afya yako kabla hujaitupa kwa sababu ya propaganda za Mitandaoni. Umesikia watu wakisema "Matunda yana sukari nyingi, Ni hatari kwa afya yako" Kwamba Usile Matunda..? Subiri nikuonyeshe

Matunda na Asali Sio Adui Yako— Uongo Unaokuibia Afya Bila Kujua..!

Leo nataka kuokoa afya yako kabla hujaitupa kwa sababu ya propaganda za Mitandaoni.

Umesikia watu wakisema "Matunda yana sukari nyingi, Ni hatari kwa afya yako" Kwamba Usile Matunda..?

Subiri nikuonyeshe
James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI 💨TUMIA SIMU YAKO KAMA UNIVERSAL REMOTE YA TV, AC AU PROJECTOR. Simu nyingi (hasa zile za Android) zina uwezo wa ku control vifaa kama TV, AC, fan, projector na vingine kwa kutumia Infrared (IR Blaster) au Wi-Fi. Thread 🧵👇

#UZI 

💨TUMIA SIMU YAKO KAMA UNIVERSAL REMOTE YA TV, AC AU PROJECTOR.

Simu nyingi (hasa zile za Android) zina uwezo wa ku control vifaa kama TV, AC, fan, projector na vingine kwa kutumia Infrared (IR Blaster) au Wi-Fi.

Thread 🧵👇
Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

USIPO NIELEWA HAPA JUU YA MAKUNDI YA DAMU— HUTOKAA UELEWE MPAKA KUFA KWAKO. Kila binadamu ana damu yenye seli nyekundu ambazo hubeba oksijeni, kabondayoksaidi, viini lishe na maji ya mwilini. Lakini kuna kitu cha hatari ndani ya seli hizo, Antigen — aina ya protini inayofanya

USIPO NIELEWA HAPA JUU YA MAKUNDI YA DAMU— HUTOKAA UELEWE MPAKA KUFA KWAKO.

Kila binadamu ana damu yenye seli nyekundu ambazo hubeba oksijeni, kabondayoksaidi, viini lishe na maji ya mwilini.

Lakini kuna kitu cha hatari ndani ya seli hizo,  Antigen — aina ya protini inayofanya
James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI 💨TUMIA SIMU YAKO KAMA MOUSE YA LAPTOP. Simu Yako Inaweza Kufanya Zaidi ya Unavyodhani! Unajua unaweza kuitumia kama mouse ya laptop yako? Bila bluetooth mouse wala vifaa vya gharama. Shuka 🧵👇 Kindly repost 🔄

#UZI

💨TUMIA SIMU YAKO KAMA MOUSE YA LAPTOP.

Simu Yako Inaweza Kufanya Zaidi ya Unavyodhani!
Unajua unaweza kuitumia kama mouse ya laptop yako? Bila bluetooth mouse wala vifaa vya gharama.

Shuka 🧵👇

Kindly repost 🔄
Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

Haujauawa na risasi... Lakini kuna muuaji mwingine anayekula uhai wako kimya kimya kila siku..! Magonjwa yasiyoambukiza ni wanyang’anyi wa maisha yako... Wauaji hawa una waalika wewe mwenyewe bila kujua…Hadi siku ya Mauti yako... Open Thread 🧵

Haujauawa na risasi... Lakini kuna muuaji mwingine anayekula uhai wako kimya kimya kila siku..!

Magonjwa yasiyoambukiza ni wanyang’anyi wa maisha yako...

Wauaji hawa una waalika wewe mwenyewe bila kujua…Hadi siku ya Mauti yako...

Open  Thread 🧵
James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI 💨JINSI YA KUTUMIA SIMU KAMA KIPAZA SAUTI (MIC) YA KOMPYUTA Kupitia WO Mic App au Audio Cable (AUX) Simu yako ya Android au iPhone inaweza kubadilishwa kuwa kipaza sauti (microphone) ya kompyuta. Shuka🧵👇 Usisahau kurepost🔄

#UZI

💨JINSI YA KUTUMIA SIMU KAMA KIPAZA SAUTI (MIC) YA KOMPYUTA

Kupitia WO Mic App au Audio Cable (AUX)
Simu yako ya Android au iPhone inaweza kubadilishwa kuwa kipaza sauti (microphone) ya kompyuta.

Shuka🧵👇

Usisahau kurepost🔄
Kabigwa_Afya💊 (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

Kwa macho mazuri, kula karoti 🥕 Kwa ngozi nzuri, kula limao🍋 Kwa utumbo mzuri, kula kabichi 🥬 Kwa tezi dume nzuri, kula nyanya 🍅 Kwa figo nzuri, kunywa maji 💦 Kwa moyo mzuri, kula parachichi 🥑 Kama unakohoa, kula nanasi 🍍 Kama una msongo wa mawazo, kula ndizi 🍌

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

KANUNI 8 ZA KIFALME: 1. Kamwe usimuoneshe Mwanamke kumpenda kwa haraka baada ya kukutana nae tu 2. Acha kufukuzia wanawake na sex, waache wakufate - wewe zingatia kutafuta maokoto. 3. Usiweke mahusiano malaya, single mother, acha kumuonea huruma - simps hawajaisha 4. Ukiwa

James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI 💨JE UNATAKA KUJUA BATTERY HEALTH CAPACITY YAKO? (Kwa wote Android users na iPhone users) Jinsi ya Kujua Kiwango Halisi cha Afya ya Battery Yako (Battery Health) Simu yako inaonekana kuwa na chaji lakini inazima ghafla? Au chaji haikai hata kama umeitumia kidogo? 🧵👇

#UZI

💨JE UNATAKA KUJUA BATTERY HEALTH CAPACITY YAKO?

(Kwa wote Android users na iPhone users)

Jinsi ya Kujua Kiwango Halisi cha Afya ya Battery Yako (Battery Health)
Simu yako inaonekana kuwa na chaji lakini inazima ghafla? 
Au chaji haikai hata kama umeitumia kidogo?
🧵👇
James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI 💨ZIMA HIZI SETTING 7 MARA TU UNAPONUNUA SIMU MPYA. Settings 7 Unazopaswa Kuzima Mara Tu Baada ya Kununua Simu Mpya Kulinda betri, data zako, na faragha. shuka🧵👇 Kindly repost 🔄

#UZI

💨ZIMA HIZI SETTING 7 MARA TU UNAPONUNUA SIMU MPYA.

Settings 7 Unazopaswa Kuzima Mara Tu Baada ya Kununua Simu Mpya

Kulinda betri, data zako, na faragha.

shuka🧵👇

Kindly repost 🔄
James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI 💨NJIA ZA KUFANYIA SIMU YAKO DIAGNOSIS SIMU YAKO KUTAMBUA TATIZO KABLA YA KUPELEKA KWA FUNDI. Namna ya Kufanya Diagnosis ya Simu Yako Mwenyewe – kabla hujapeleka kwa fundi au kuanza kutumia hela bila sababu. Shuka 🧵👇 Usisahau🔄

#UZI

💨NJIA ZA KUFANYIA SIMU YAKO DIAGNOSIS SIMU YAKO KUTAMBUA TATIZO KABLA YA KUPELEKA  KWA FUNDI.

Namna ya Kufanya Diagnosis ya Simu Yako Mwenyewe – kabla hujapeleka kwa fundi au kuanza kutumia hela bila sababu.

Shuka 🧵👇

Usisahau🔄
James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI 💨🔋 USINUNUE POWEBANK BILA KUZINGATIA HIZI 5 SPECIFICATIONS — Thread 🧵 Powerbank si kila tu yenye bei nafuu ni bora. Kuna sifa muhimu lazima uangalie ili isiishie kuwa mzigo mfukoni. Hizi hapa 5 muhimu👇

#UZI

💨🔋 USINUNUE POWEBANK BILA KUZINGATIA HIZI 5 SPECIFICATIONS 
— Thread 🧵

Powerbank si kila tu yenye bei nafuu ni bora. Kuna sifa muhimu lazima uangalie ili isiishie kuwa mzigo mfukoni. 
Hizi hapa 5 muhimu👇
Zumbe Khan👑 (@zumbekhan) 's Twitter Profile Photo

Unapotumia WhatsApp, unawasiliana na dunia. Lakini je, unalinda taarifa zako vya kutosha.!? Watu wengi wanatumia WhatsApp kila siku lakini hawajui kuna mpangilio I mean settings Nne tu zinayoweza kubadili kila kitu.! Soma, elewa,like,repost ili iwafikie wengi. SHUKA NA UZI 🧵👇

Unapotumia WhatsApp, unawasiliana na dunia. Lakini je, unalinda taarifa zako vya kutosha.!?

Watu wengi wanatumia WhatsApp kila siku lakini hawajui kuna mpangilio I mean settings Nne tu zinayoweza kubadili kila kitu.!

Soma, elewa,like,repost ili iwafikie wengi.
SHUKA NA UZI 🧵👇