Zee la nyeti (@zeelanyeti17) 's Twitter Profile
Zee la nyeti

@zeelanyeti17

hekima + juhudi

ID: 1647509613175091202

calendar_today16-04-2023 07:58:13

3,3K Tweet

7,7K Followers

1,1K Following

Zee la nyeti (@zeelanyeti17) 's Twitter Profile Photo

Harakati za vijana zimepata mtetetezi nadra sana kwa kiongozi wa nchi kuwa na matukio makubwa mawili na yote akahudhuria Dar es salaam jana ilikuwa busy mnooo! Tunaye Mama tunatamba naye

Tafuta hii video utaamini kabisa Kikeke anafaa kuwa Msemaji wa serikali au Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu very perfectttttttttt.

Tafuta hii video utaamini kabisa Kikeke anafaa kuwa Msemaji wa serikali au Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu very perfectttttttttt.
Kwame Kivaisi (@kwamekivaisi) 's Twitter Profile Photo

Kama ningekuwa SATIVA hadi muda huu ningekuwa nishafanya kitu gani? - Kwanza ningeishukuru sana Serikali ya Rais Samia Suluhu kwa kuwekeza vyema kwenye sekta ya afya kwa sababu, huduma zote tangu apatikane amepata kwenye hospitali za serikali. - Pili, ningetafuta watu wote

Kama ningekuwa SATIVA hadi muda huu ningekuwa nishafanya kitu gani?

- Kwanza ningeishukuru sana Serikali ya Rais Samia Suluhu kwa kuwekeza vyema kwenye sekta ya afya kwa sababu, huduma zote tangu apatikane amepata kwenye hospitali za serikali.

- Pili, ningetafuta watu wote
Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, afungua Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC). Kikao hiki ni jukwaa muhimu la kubadilishana mawazo,

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, afungua Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC). 

Kikao hiki ni jukwaa muhimu la kubadilishana mawazo,
Zee la nyeti (@zeelanyeti17) 's Twitter Profile Photo

Nimefanya ziara ya kushtukiza Facebook, Instagram, TikTok na Thread 🧵 itoshe kusema CCM watakuwepo kwa miaka 200 ijayo madarakani.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo katika Shule ya Polisi Tanzania, Moshi mkoani Kilimanjaro niliposhiriki Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Jeshi letu limepiga hatua kubwa katika