Baraka Zabron (@zabron_baraka) 's Twitter Profile
Baraka Zabron

@zabron_baraka

Evangelist, Gospel Singer, School teacher and Business Man.

ID: 882077201331609600

calendar_today04-07-2017 03:22:47

10 Tweet

63 Takipçi

101 Takip Edilen

Baraka Zabron (@zabron_baraka) 's Twitter Profile Photo

KUOKOKA SIO UPUMBAVU. Inasikitisha kwamba imefika hatua waajiri wanaogopa na kuepuka kuajiri wapendwa (Walokole) kwenye maeneo yao ya kazi.

KUOKOKA SIO UPUMBAVU.

Inasikitisha kwamba imefika hatua waajiri wanaogopa na kuepuka kuajiri wapendwa (Walokole) kwenye maeneo yao ya kazi.
Baraka Zabron (@zabron_baraka) 's Twitter Profile Photo

Ukiandika report ndio iwekwe iwe inatumiwa kwa reference, tuzo za Mfanyakazi bora basi ziwe zako . Huo ndio Ukristo au wokovu wa mfano.

KUOKOKA ni KUMPA YESU MAISHA YAKO. Yaani hauna maisha ya kwako tena.(Wagalatia 2:20) Basi acha kuishi hovyo hovyo. Wewe sio Mtu wa kawaida.

Jiulize "UNAFANYA NINI CHA KUWAFANYA WALIOKUZUNGUKA WAMTAMANI YESU WAKO?" Injili ya nguvu ni ya maisha yako bila kufungua Biblia.

Kuokoka ulitangaza mfumo mpya wa maisha. Kila unachokifanya unafuatiliwa,(2Wakorintho 3:3-5) Onesha ufanisi wa hali ya juu kwenye kazi zako