young dady (@youngdady48dady) 's Twitter Profile
young dady

@youngdady48dady

Technology

ID: 1654914523776598016

calendar_today06-05-2023 18:23:16

3,3K Tweet

128 Takipçi

79 Takip Edilen

Moyo wa TAIFA ™️ (@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Wafanyabiasha wa bidhaa ndogondogo 2025 hii #BajabirLogistics ina ofa ya kuwasafirishia vifurushi vyenu kwa bei ya punguzo kwenda Moro,Moshi,Arusha,Tanga,Dodoma,Korogwe kwa 5000/= ,hakikisha nzigo umetufikia kabla ya saa 1 usiku. ☎️0653 48 78 16 🚶‍♀️Kinondoni Muslim

Wafanyabiasha wa bidhaa ndogondogo 2025 hii #BajabirLogistics ina  ofa ya kuwasafirishia vifurushi vyenu kwa bei ya punguzo kwenda Moro,Moshi,Arusha,Tanga,Dodoma,Korogwe kwa 5000/= ,hakikisha nzigo umetufikia kabla ya saa 1 usiku.

☎️0653 48 78 16 

🚶‍♀️Kinondoni Muslim
T (@tmnyama4_) 's Twitter Profile Photo

Wanaume wengi tunampenda mwanamke anayejua kusimamia hisia zake. Sio kila jambo linahitaji majibizano na maneno machafu uliza kistaarabu pia wakati mwingine ukimya na tabasamu vina nguvu zaid Yani tukosee then tujue umejua kisha utabasamu tu, huwa tunaguswa kuliko kelele

Ms_Frida💎 (@famworld2025) 's Twitter Profile Photo

Njia hiyohiyo uliyopita salama kuna wenzio wamepata ajali, biashara hiyohiyo inayoendelea vizuri kuna wenzio wameifunga, kazi hiyohiyo unayoidharau wenzio hawana, mtoto huyo huyo unayemuona hafai wenzio wanamlilia, unafikiri kuna vitu umewazidi waliokosa? Ni kwa Neema tuu🤝🙏

Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC🆚Simba SC 📆 08.03.2025 🏟 Benjamin Mkapa 🕖 01:15 Usiku #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 

🏆 #NBCPremierLeague 
⚽️ Young Africans SC🆚Simba SC
📆 08.03.2025
🏟 Benjamin Mkapa
🕖 01:15 Usiku

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

#VIDEO Maisha yana mitihani na mikasa yake kila kukicha na leo imekuwa zamu ya Kijana Philemon ambaye mwaka 2019 aliamua kuondoka nyumbani Kigoma na kuja Dar es salaam kujitafutia maisha ambako siku moja akiwa kwenye Stendi ya Mabasi ya Makumbusho alikutana na Mwanamke

Al-Masry SC (@almasrysc) 's Twitter Profile Photo

We are happy to meet again with the fans of Young Africans 🎞️ Tunayo furaha kukutana tena na mashabiki wa Young Africans 🎞️ من السعاده اننا سنلتقي مرة اخرى بجماهير يانج أفريكانز 🎞️ #TotalEnergiesCAFCC | #Almasry | #timuyawananchi

We are happy to meet again with the fans of Young Africans 🎞️

Tunayo furaha kukutana tena na mashabiki wa Young Africans 🎞️

من السعاده اننا سنلتقي مرة اخرى بجماهير يانج أفريكانز 🎞️

#TotalEnergiesCAFCC | #Almasry | #timuyawananchi