Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profileg
Holy

@yose_hoza

Digital Manager | Media Strategic | Telecommunication Engineer

ID:3039495909

calendar_today15-02-2015 19:26:56

387,8K Tweets

153,6K Followers

32,2K Following

FAZA ๐Ÿ’ซ๐Ÿš˜๐Ÿ’Ž(@bernfaza) 's Twitter Profile Photo

-Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote,
Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;
-Katika njia zako zote mkiri yeye,
Naye atayanyosha mapito yako.

MITHALI 3:5-6 ๐Ÿ“–

account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Mambo yanayovutia ni pamoja na kuona vijana wakiamua kusambaza ujumbe wa ku kwenye vyombo vyao vya usafiri, elimu ikiwafikia wadau wengi na kutambua afya ya uzazi ni haki ya kila mmoja

account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Katika safari ya mafanikio Mungu huanza kukupa nafasi ya kujenga misuli kabla hajakupa ili usipoteze na utaweza hivyo kwa kumtolea fungu la 10

account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya vitu kwenye maisha yako utachelewa kuvipata sio kwamba Mungu hataki uvipate bali unapewa muda wa kujiandaa

account_circle
Faida Magiyula(@faida_magiyula) 's Twitter Profile Photo

MIRIAM๐Ÿ’œ That is ..!

Kwa Mwezi Mbunge anapokea Milioni 11,000,000

Kwa mwaka atapokea 132,000,000

Kwa miaka mitano atapokea Jumla 660,0000

Huu ni mshahara tu hujaweka kiinua Mgongo, bado Sitting allowance, bado Posho mbalimbali.

account_circle
Dira Ya Samia(@DiraYaSamia) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia kuhusu Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano. Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amegusia historia ya muungano na kuwapongeza viongozi wa serikali zote mbili kwa uongozi wao katika kuuenzi na kuudumisha muungano.

account_circle
Zee la Vyeti (PhD)(@babalao__) 's Twitter Profile Photo

Wanafunzi wa shule ya sekondari Juhudi na Buyuni wameungana na The LaunchPad kwa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wasichana katika ICT. Pamoja na LP Digital & Women and Technology Tanzania, tunafungua njia kwa vipaji vipya katika teknolojia. Femina Hip log.ai

Wanafunzi wa shule ya sekondari Juhudi na Buyuni wameungana na @TheLaunchPadTZ kwa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wasichana katika ICT. Pamoja na @LPDigitalTZ & @TechWomenTZ, tunafungua njia kwa vipaji vipya katika teknolojia. @FeminaHip @logai_dev #GirlsInICT #TechWomenTz
account_circle
Media for Development and Advocacy.(@MedeaTanzania) 's Twitter Profile Photo

Listen closely as one of the young girls advocating against child marriage under Sauti Zetu Initiative at Kishapu-Shinyanga, she reveals the purpose behind coordinating a debate about the need for the change of the marriage law.

account_circle
๏ฃฟ ๐Š๐ข๐๐ฎ๐๐ฎ ๐Œ๐ญ๐ฎ ๐‰๐‘โ„ข(@anuskills3) 's Twitter Profile Photo

Wizara imeendelea kukiwezesha kituo cha Huduma kwa Wateja kufanya kazi kwa muda wa siku saba 7 za wiki kuanzia saa 1:30 asubuhi hadi saa 4:00 usiku.

Ambapo hadi kufikia Aprili,2024 kituo hicho kimepokea simu 21,754 za wadau kuhusu..

Wizara imeendelea kukiwezesha kituo cha Huduma kwa Wateja kufanya kazi kwa muda wa siku saba 7 za wiki kuanzia saa 1:30 asubuhi hadi saa 4:00 usiku. Ambapo hadi kufikia Aprili,2024 kituo hicho kimepokea simu 21,754 za wadau kuhusu.. #BajetiKilimo
account_circle
HakiElimu(@HakiElimu) 's Twitter Profile Photo

. Mtaala mpya umekuja na majukumu ya ziada kwa walimu wa ngazi zote, msingi na sekondari. Hili ni moja ya maeneo ambayo HakiElimu na wadau wa elimu wanatarajia bajeti ya sekta ya elimu Mwaka 2024-25 italipa kipaumbele.

. Mtaala mpya umekuja na majukumu ya ziada kwa walimu wa ngazi zote, msingi na sekondari. Hili ni moja ya maeneo ambayo @HakiElimu na wadau wa elimu wanatarajia bajeti ya sekta ya elimu Mwaka 2024-25 italipa kipaumbele. #ElimuKwanza
account_circle
Halima(@Halima_nyab) 's Twitter Profile Photo

Katika Kuadhimisha Miaka 60 ya Muungano wa Tanzania, Songa na Samia SS, inaaangazia mchango wa Rais Samia Suluhu Hassan katika Muungano huo tangu akiwa Waziri na Makamu wa Rais kwenye masuala hayo.

account_circle
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Kwa mujibu wa watoto wameendelea kuwa manusura wakuu wa vitendo vya ukiukwaji wa ย haki za binadamu (45%) ikipungua kutoka 47% mwaka 2022.
Wanawake nafasi ya pili (30%) ikipungua 33% mwaka 2022.
LHRC

account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Nimefarijika kwa ujumbe wa video toka Kata ya Misufini, Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro wa wanafunzi Ibrahim na Mwanaulu pamoja na wazazi wao, kuhusu mabadiliko na uboreshaji wa elimu uliofanyika kwenye kata yao katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.

Tumepiga hatua kubwa

account_circle
Sonninoโšก(@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

Wizara imenunua na kusambaza visanduku vya Ugani 1,000 kwa Maafisa Ugani kilimo 1,000 katika mikoa ya Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa, Ruvuma, Rukwa na Katavi sawa na asilimia 25 ya lengo. Kadhalika, magari 46 na pikipiki 550 kwa ajili ya Maafisa Ugani ngazi ya

#BajetiYaKilimo Wizara imenunua na kusambaza visanduku vya Ugani 1,000 kwa Maafisa Ugani kilimo 1,000 katika mikoa ya Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa, Ruvuma, Rukwa na Katavi sawa na asilimia 25 ya lengo. Kadhalika, magari 46 na pikipiki 550 kwa ajili ya Maafisa Ugani ngazi ya
account_circle
Sonninoโšก(@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

Wizara imenunua vishikwambi 4,446. Kati ya hivyo vishikwambi 946 vimesambazwa na usambazaji unaendelea kwa ajili ya usajili wa wakulima, kukusanya taarifa kuchukua alama za nukta katika mashamba ya wakulima na utoaji wa huduma za ugani kwa njia ya kidigiti na

#BajetiKilimo Wizara imenunua vishikwambi 4,446. Kati ya hivyo vishikwambi 946 vimesambazwa na usambazaji unaendelea kwa ajili ya usajili wa wakulima, kukusanya taarifa kuchukua alama za nukta katika mashamba ya wakulima na utoaji wa huduma za ugani kwa njia ya kidigiti na
account_circle
Africa View Facts(@AfricaViewFacts) 's Twitter Profile Photo

Mandela National Stadium in Namboole, Uganda ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ, is finally reopening after renovations.

This iconic venue is being prepared to host AFCON 2027.

It has a capacity of 45,202.

Mandela National Stadium in Namboole, Uganda ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ, is finally reopening after renovations. This iconic venue is being prepared to host AFCON 2027. It has a capacity of 45,202.
account_circle