Yoolenz (@yoolenz) 's Twitter Profile
Yoolenz

@yoolenz

ID: 610015770

calendar_today16-06-2012 12:03:19

16,16K Tweet

845 Followers

838 Following

James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

Silabu (powered by smartclasstz) wamekuandalia course ya GRAPHICS DESIGN, kuanzia August mpaka September, (Online). Jisajili πŸ‘‰ bit.ly/2SojZxJ ujifunze kutengeneza:- 1)Logos 2)Magazine Covers 3)Event Posters 4)Business Card 5)Social Media Posters 6)Banners, etc. Kujiajiri inawezekana.

<a href="/smartclasstz/">Silabu (powered by smartclasstz)</a> wamekuandalia course ya GRAPHICS DESIGN, kuanzia August mpaka September, (Online).

Jisajili πŸ‘‰ bit.ly/2SojZxJ ujifunze kutengeneza:-

1)Logos
2)Magazine Covers
3)Event Posters
4)Business Card
5)Social Media Posters 
6)Banners, etc.

Kujiajiri inawezekana.
Pratham (@prathkum) 's Twitter Profile Photo

Learn Web Development for freeπŸ‘‡ NotesπŸ“ƒ β†’ w3 schools β†’ Mdn docs β†’ geeksforgeeks YouTubeπŸŽ₯ β†’ Traversy media β†’ Web dev simplified β†’ JavaScript Mastery Website🌐 β†’ Freecodecamp β†’ Codecademy β†’ SoloLearn PracticeπŸ’» β†’ Frontend Mentor β†’ TestDome β†’ Create Projects

Digital Nomad (Your Fav Dijito Bro) (@mafolebaraka) 's Twitter Profile Photo

Platform kumi za kujifunza lugha yeyote unayoitaka 1. Babbel 2. Duolingo 3. Rosetta Stone 4. HelloTalk 5. Drops 6. Busuu 7. Beelinguapp: (Languages,Audiobooks & music) 8. Mango 9. Memrise 10. Lingo-X

Yesaya Software (@yesayasoftware) 's Twitter Profile Photo

Hello Laravel Community Tanzania, Tumefanikiwa kununua domain ya Laravel Community Tanzania ambayo tutamia kuonyesha matukio na habari mbalimbali kuhusu Laravel Community Tanzania. Other channels will follow soon, spread the love ❀️. Cc: Laravel

Hello Laravel Community Tanzania, 

Tumefanikiwa kununua domain ya Laravel Community Tanzania ambayo tutamia kuonyesha matukio na habari mbalimbali kuhusu Laravel Community Tanzania.

Other channels will follow soon, spread the love ❀️.

Cc: <a href="/laravelphp/">Laravel</a>
JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

Leo hii kuna Televisheni za kisasa ambazo ni kubwa sana na zenye picha angavu sana. #The End_______&& If u Read this #Uzi kindly JUST RETWEET and FOLLOW ME kwa Ajili ya Kupata #Nyuzi bin #Nyuzi Everyday..!! Thanks πŸ™πŸ™

Leo hii kuna Televisheni za kisasa ambazo ni kubwa sana na zenye picha angavu sana.

#The End_______&amp;&amp;

If u Read this #Uzi kindly 
JUST RETWEET and FOLLOW ME 
kwa Ajili ya Kupata #Nyuzi bin #Nyuzi Everyday..!!

Thanks πŸ™πŸ™
Zature (@iamzature) 's Twitter Profile Photo

Natengeneza fremi za picha size A4 hadi A1, kama una picha za zamani na unataka kuziongezea ubora na kuzipreserve usisite kunicheki

Natengeneza fremi za picha size A4 hadi A1, kama una picha za zamani na unataka kuziongezea ubora na kuzipreserve usisite kunicheki
#TOTTechs (@tottechs) 's Twitter Profile Photo

BITCOIN, BLOCKCHAIN AND CRYPTOCURRENCIES Turudi nyuma mwaka 2008, Bwana mmoja aitwaye Santoshi Nakamoto mtaalamu wa Computer na Hesabu alitengeneza Program na kuiita jina la BITCOIN Je, Bitcoins ni nini na zinafanyaje kazi ? Twende na uzi πŸ‘‡ #ElimikaWikiendi

BITCOIN, BLOCKCHAIN AND CRYPTOCURRENCIES

Turudi nyuma mwaka 2008, Bwana mmoja aitwaye Santoshi Nakamoto mtaalamu wa Computer na Hesabu alitengeneza Program na kuiita jina la BITCOIN

Je, Bitcoins ni nini na zinafanyaje kazi ?

Twende na uzi πŸ‘‡

#ElimikaWikiendi
Benix Matrix (@benixmatrix) 's Twitter Profile Photo

Tovuti 23 kwa ajili ya masomo ya bure mtandaoni. Zitafute hizi kwenye Google: 1. Khan Academy 2. edX 3. Saylor Academy 4. FreeCodeCamp 5. iTunesU Free Courses 6. MIT OpenCourseWare 7. TED-Ed 8. Stanford Online 9. Codecademy 10. Open Culture Online-Courses 11. Academy Earth

HabariTech (@habaritech) 's Twitter Profile Photo

⚑️ Elon Elon Elon Ununuzi wake wa Twitter una siri nzito ambayo hataki tuijue Huyu jamaa ni mtu mmoja ana akili mno πŸ˜‚ Huyu CEO wa Tesla & SpaceX alikuwa mmoja wa watu muhimu katika kuanzishwa kwa OpenAI ambayo imetoa ChatGPT.

⚑️ Elon Elon Elon

Ununuzi wake wa Twitter una siri nzito ambayo hataki tuijue

Huyu jamaa ni mtu mmoja ana akili mno πŸ˜‚

Huyu CEO wa Tesla &amp; SpaceX alikuwa mmoja wa watu muhimu katika kuanzishwa kwa OpenAI ambayo imetoa ChatGPT.