Angalia viongozi wengi wa๐น๐ฟ wanavyopenda sifa za kijinga
Misafara ya magari, security details, sherehe za kifahari, vyeo vya kununua, safari za kishamba, maisha ya juu, madaraka nk
Wengi wakifa tunawasahau in weeks. Nyerere aliishi maisha standard sn ila anakumbukwa milele
Sahii ni saa tisa na robo, Nipo natrade.
One thing nataka kuwaambia wanangu wa Forex, this thing is sweet. Wakati ukifika, ukazielewa kanuni za Soko, Mungu akakuwashia Taa. U'll never ever go back!. Put God first, invest ur time On knowledge. ONE DAY IT WILL PAY. SHIKILIA BOMBA
"In Trading, survival comes before profit, your edge means nothing without patience and the fastest way to lose it all is to chase quick riches without risk control "
BEN
Afu ukute mtu anasema anafundisha Forex kwa week 2 seriously kabisa hivi anahisi hii biashara ni kama betting ๐?
Yaani hata betting hufundishwi kwa week 2 yule brother anahisi watu wa x ni kama wale wa IG ๐.Any way ngoja newbie wazamishwe kwenye bahari nyeusi ๐
Mafanikio huchukua muda mrefu kuliko unavyotarajia, kisha yanakuja haraka kuliko unavyoweza kudhani.
Mtu wa pembeni atasema mafanikio yamekutokea usiku mmoja, kumbe imekuchukua miaka 10 kufika hiyo siku.
NILITUMIA NJIA HIZI KUJIFUNZA FOREX NA KU MASTER NDANI YA MIEZI SITA
1. Niliipenda kuliko kitu chochote (elewa neno KITU). Kuipenda kuliniweka mbali na Imani hasi juu ya michakato ya kusadikika. Niliifanya kwa Mapenzi hata iliponivunja Moyo.
2. Nili unfollow pages zisizo za