Youth Investors Association
@yia_tanzania
Jumuiya ya Vijana Wawekezaji. Youth-led organization working to Empower a Generation of Opportunity Makers & Investors in 🇹🇿. Register & Join our Community.
ID: 1387821094128783366
http://www.yia.co.tz 29-04-2021 17:28:43
1,1K Tweet
938 Takipçi
355 Takip Edilen
Kesho Vijana wa Dar es Salaam Wana sehemu moja tu ya Kwenda Kupata madini ya kufungua bongo. Ni kwenye ukumbi wa IFM Function ambapo kutakua na #ChuoTalks2025 hii ni fursa kwako Kujifunza na kuconnect na watu muhimu kwenye safari yako. Kongole Joseph Mramba Kwa Hatua hii
Tupo pamoja na swahiba wa ukweli wa vijana wa Tanzania CRDB Bank PLC. Asanteni kwa kujiunga nasi kwenye tukio letu la Chuo Talks.
Jumuiya ya Vijana Wawekezaji (YIA) inampongeza Ndg. Gilead John Teri Gilead Teri, Kwa kuteuliwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) Tanzania Investment & Special Zones Authority.