Yunus Emre Enstitüsü - Zanzibar (@yeezanzibar) 's Twitter Profile
Yunus Emre Enstitüsü - Zanzibar

@yeezanzibar

Yunus Emre Institute, ambayo hujenga madaraja ya kitamaduni, inautambulisha utamaduni wa Uturuki kwa ulimwengu kwa matukio tofauti.

ID: 1616329519270338563

calendar_today20-01-2023 06:59:33

253 Tweet

121 Takipçi

86 Takip Edilen

Yunus Emre Enstitüsü - Zanzibar (@yeezanzibar) 's Twitter Profile Photo

Konzeti la kumkumbuka Barış Manço liliripotiwa kwenye kituo cha televisheni cha Serikali cha Zanzibar, ZBC. *** Barış Manço Anma Konseri etkinliğimiz, Zanzibar Devlet kanalı ZBC’de yer aldı. Yunus Emre Enstitüsü #BasındaBiz #YunusEmreEnstitüsü #YunusEmreVakfı

Yunus Emre Enstitüsü - Zanzibar (@yeezanzibar) 's Twitter Profile Photo

Rafiki wa zamani anayepunguza umbali: Redio! 📻 Siku ya Redio Duniani, tunakutana kwenye mawimbi kutoka zamani hadi leo. Kupitia “Redio ya Sauti ya Kituruki” ya Taasisi ya Yunus Emre, mdundo, hadithi, na miziki ya Kituruki inafika kila pembe ya dunia. ✨

Yunus Emre Enstitüsü - Zanzibar (@yeezanzibar) 's Twitter Profile Photo

“Hekima ya Zamani, Ulimwengu wa Leo: Mtazamo wa Şeyh Edebali” matukio kutoka kongamano letu ✨ *** “Geçmişin Bilgeliği, Bugünün Dünyası: Şeyh Edebali Perspektifi” konferansımızdan yansımalar✨ Yunus Emre Enstitüsü #YunusEmreEnstitüsü #YunusEmreVakfı #ŞeyhEdebali

“Hekima ya Zamani, Ulimwengu wa Leo: Mtazamo wa Şeyh Edebali” matukio kutoka kongamano letu ✨

***
“Geçmişin Bilgeliği, Bugünün Dünyası: Şeyh Edebali Perspektifi” konferansımızdan yansımalar✨

<a href="/yeeorgtr/">Yunus Emre Enstitüsü</a> 
#YunusEmreEnstitüsü
#YunusEmreVakfı
#ŞeyhEdebali