Kuna ile kauli
“Maisha ndo aya aya, we tumia PESA ikuzoee”
Usiingie kwenye uwo mtego, jamii inakupotosha. Kwanini?
Kutafuta pesa kila mtu anaweza, ila shida ni kubaki na iyo pesa, na kuifanya izalishe PESA ingine.
Tafuta uthamani, utengeneze PESA, na sio kutafuta.
Wanaume huwa tunafikiri kupata Mke ni jambo rahisi kwa kuwa Wanawake wametapakaa kila kona wakitaka kuolewa.
Tunashindwa kuelewa kuwa, si kila Mwanamke ni Mke.
SAIKOLOJIA INASEMA "Usionyeshe upendo, mapenzi, au kujali kupita kiasi kwa mtu yeyote, kwa sababu ni hulka ya binadamu kudharau chochote kinachopatikana bila malipo."
Mtu akifikisha miaka 30 ni mzee,,,, lakini akifa akiwa na miaka 30 ni mdogo.......Usiruhusu mtu akushinikize.
Rafiki wa tajiri si tajiri.. bali rafiki wa mwizi ni mwizi. Uwe na hekima💯
C & P
Kuna umri ukifika utaanza kukumbuka.
•Fursa ulizoziacha kwa kuona AIBU hazitorudi tena
•Hakuna aliyekuwa anajali kuhusu wewe
•Pesa nyingi ulizozipata na kushindwa kuwekeza hutozipata tena
•Muda uliopoteza hauwezi kurudi tena
Kama kijana, chukua hatua mapema.