AJ (@xizo_jr) 's Twitter Profile
AJ

@xizo_jr

Creative Specie | Journalist | Eatv Content Strategist | F1 analyst | Shujaaz Alumni|

ID: 1218877245357527047

calendar_today19-01-2020 12:46:05

1,1K Tweet

98 Followers

408 Following

AJ (@xizo_jr) 's Twitter Profile Photo

Ni huzuni kuwa geto la Cowbama halikua Self contained😂. Au labda alibadilisha Geto wakati Mikasi inatoka. fid alisema geto la ngwea halijawahi kutokea Ibarikiwe sanaa ya ngwea aliyeumba geto levo za Shabani Robert na "Kufikirika this is how #wetalkmusic

Oscar Hoole (@theoscarhoole) 's Twitter Profile Photo

In 1965, Singapore was forced out of Malaysia. No army. No resources. No fresh water. A tiny island of 2M people living in slums. Then ONE man's ruthless vision built modern Asia's greatest success... 🧵

In 1965, Singapore was forced out of Malaysia.

No army. 

No resources. 

No fresh water.

A tiny island of 2M people living in slums.

Then ONE man's ruthless vision built modern Asia's greatest success...

🧵
AJ (@xizo_jr) 's Twitter Profile Photo

Ahoua alishaumia na aliomba afanyiwe sub muda mrefu, lakini Fadlu hakumtoa. Unategemea nini kama sio Accuracy ya mchezaji kupungua uwanjani. Ikiwemo kukosa nafasi ya wazi dakika za jioni. #SIMBA

AJ (@xizo_jr) 's Twitter Profile Photo

Watu hawajadili Dakika za Kazi ya sanaa ya Side Mnyamwezi kama Stand up comedian alipokuwa jukwaani, wanajadili tukio la "KUMPA ZAWADI RAIS WA NCHI" Is it an offence? Nawakumbusha tu, jana Side ameendeleza Record ya kumchekesha Rais kwa kila sekunde aliyotumia jukwaani.

Watu hawajadili Dakika za Kazi ya sanaa ya Side Mnyamwezi kama Stand up comedian alipokuwa jukwaani, wanajadili tukio la "KUMPA ZAWADI RAIS WA NCHI"  Is it an offence?

Nawakumbusha tu, jana Side ameendeleza Record ya kumchekesha Rais kwa kila sekunde aliyotumia jukwaani.
AJ (@xizo_jr) 's Twitter Profile Photo

Yani huyu Ass. commentator aliyekuwa na mpenja leo anaongea sana bila mpangilio. Yani ni kama tulikuwa hatuangalii mechi bali tunamsikiliza yeye. PATHETIC 👎

Yani huyu Ass. commentator aliyekuwa na mpenja leo anaongea sana bila mpangilio. Yani ni kama tulikuwa hatuangalii mechi bali tunamsikiliza yeye. PATHETIC 👎
AJ (@xizo_jr) 's Twitter Profile Photo

#hesabuzinakataa Mashosti wawili BFFs, wana muda hawajaonana. Mmoja yuko home "katoka kujifungua" mwingine katoka kumzika "Mama mzazi". Yupi anatakiwa awe wa kwanza kwenda kumsalimia mwezake? WHYMYCATISSAD

#hesabuzinakataa Mashosti wawili BFFs, wana muda hawajaonana. Mmoja yuko home "katoka kujifungua" mwingine katoka kumzika "Mama mzazi". Yupi anatakiwa awe wa kwanza kwenda kumsalimia mwezake? <a href="/INFLUENCERjr/">WHYMYCATISSAD</a>