xagretz (@xagretz1980) 's Twitter Profile
xagretz

@xagretz1980

USISAHAU JINENEA MEMA๐ŸŒ๐Ÿ™

ID: 1702593740924211200

calendar_today15-09-2023 08:02:55

4,4K Tweet

825 Takipรงi

1,1K Takip Edilen

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Likija suala la Kazi, hakikisha records zako za kunyoosha kazi ni nyingi, kuliko za kuharibu, Itakulinda zaidi kuliko kukuangusha.

SANUKAnaCHAPO (@chapo255) 's Twitter Profile Photo

Wabongo wanawaza kujenga frame, appartment, bar na hardware tu hawataki kuwekeza kwenye afya. Kigamboni nzima hospitali za kueleweka hazizidi 3. Kutoka Kimbiji hadi Mjimwema hakuna hospitali nzuri ya kueleweka. Au matajiri hela zenu za majini๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Edwin F.M (@edwinmjeru) 's Twitter Profile Photo

Mambo 6 ambayo hayajawahi kumuacha mtu BURE; 1. Kichwa chenye kufikiri. 2. Moyo wenye NIA ya dhati. 3. Mikono yenye juhudi. 4. Miguu yenye kutafuta malisho. 5. Tumbo lenye njaa ya mafanikio. 6. Nafsi yenye kutafuta utoshelevu. 7. Roho yenye kumcha Mungu. Hautatoka bure!

Thom Mnkondya (@thommunkondya) 's Twitter Profile Photo

Oya vijana, fellow hustlers tuamke, tuamke tukapambane! Kuna wenzetu jana waliamka na kwenda kupambana, wakafanikiwa. Zamu yetu ni leo. Hakuna cha kusubiri, hakuna cha kuahirisha ni kuamka na kusaka fursa. Maisha yanajengwa na wale wanaothubutu kutoka na kupambana kila siku.

George Ambangile (@george_ambangil) 's Twitter Profile Photo

Bado tuna shida mahala sisi VIJANA . Inaonekana bado ngumu kukubali ule msemo 1: " Hii KEKI ni kubwa sana kila mtu atakata kipande chake na bado itabaki " 2: " Kwani kuna shida wote tukishinda / Kufanikiwa " ? Upatikanaji wa hizi hela unafanya watu kuchukiana/ kuharibiana

Big Sam (@samsiria) 's Twitter Profile Photo

In Dar es salaam, within a day you see atleast five women that you would like to spend the rest of your life with๐Ÿ˜ญ

Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume ana njia 5 tu za kutoka kwenye msongo wa mawazo 1. MUNGU 2 โ€ข Pesa 3 โ€ข Mazoezi 4โ€ข Kusudi lake maishani 5 โ€ข Familia yenye upendo

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Sometimes life hands you every reason to give up, yet within the same breath, it quietly offers you a reason to keep going, to live, to fight, and to strive for something greater.