Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia yaHabari (@wizarahmth) 's Twitter Profile
Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia yaHabari

@wizarahmth

Akaunti hii inatoa habari /taarifa Mbalimbali za Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

ID: 1336983322254249985

linkhttp://www.mawasiliano.go.tz calendar_today10-12-2020 10:37:47

3,3K Tweet

15,15K Followers

14 Following

Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia yaHabari (@wizarahmth) 's Twitter Profile Photo

Ziara ya kukagua miradi inayotekelezwa chini ya mradi wa Tanzania ya Kidijitali (DTP) tarehe 30 Agosti 2024 katika Hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha. #TzDigitalTransformation #DTP #TzyaKidijitali #KaziIendelee #NgorongoroCrater

Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia yaHabari (@wizarahmth) 's Twitter Profile Photo

Mafanikio Ziara ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Beijing, China katika Sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA). #TzDigitalTransformation #SmartTanzania

Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia yaHabari (@wizarahmth) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri wa Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia yaHabari , Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) wakati akiwasili katika Ofisi za UCSAF-Tanzania Kanda ya Pwani zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Septemba, 2024 kwa ajili ya ziara yake fupi juu ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na mfuko huo.

Naibu Waziri wa <a href="/wizarahmth/">Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia yaHabari</a> , Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) wakati akiwasili katika Ofisi za <a href="/UcsafT/">UCSAF-Tanzania</a> Kanda ya Pwani zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Septemba, 2024 kwa ajili ya ziara yake fupi juu ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na mfuko huo.