
Wiston Andrew Mogha
@wistonmogha
Baba alitamani niwe mfanyaBiashara mkubwa,Mama alitaka niwe afisa kitengo flani lakini nimechagua kuwa msema hovyo ili niwasemee wote popote bila uoga.#DamuMpya
ID: 521117578
11-03-2012 07:58:03
3,3K Tweet
4,4K Takipçi
611 Takip Edilen



VIDEO Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo ACTWazalendo Ado Shaibu Ado Shaibu amesema chama hicho kipo tayari kuwapokea wanasiasa kutoka vyama vingine na kitawapokea kwa heshima ya hali ya juu pindi watapokuwa tayari kuhamia ACTWazalendo. Akizungumza katika mahojiano








