π‘πžπŸπ¨π«π¦ (@winstone_nnko) 's Twitter Profile
π‘πžπŸπ¨π«π¦

@winstone_nnko

πŸ”Œ Electrical Engineer | Renewable Energy & Tech Enthusiast | Content Creator | Pan Africanist

ID: 1468335531083780096

calendar_today07-12-2021 21:45:14

3,3K Tweet

1,1K Followers

363 Following

oxTech (@oxtech25) 's Twitter Profile Photo

ATS - Automatic Transfer Switch BBT - Bus Bar Trunking System DOF - Drop Out Fuse OCB - Oil Circuit Breaker LBS - Load Break Switch HMI - Human Machine Interface PFI - Power Factor Improvement HRC - High Rupturing Capacity MCB - Miniature Circuit Breaker

oxTech (@oxtech25) 's Twitter Profile Photo

Hakuna heartbreak kubwa kuliko hii kweli? Kuamka asubuhi na kukuta simu yako haikuchaji β€” kumbe jana ulipoingia kulala uliiunganisha vizuri tu, ila ulimsahau kuwasha switch. Yaani, umelala ukiamini ipo inachaji, unamka unakuta imezima kabisa! πŸ’”πŸ”‹

π‘πžπŸπ¨π«π¦ (@winstone_nnko) 's Twitter Profile Photo

If a man doesn’t like it, don’t do it β€” not because he controls you, but because you choose to respect him and honor his leadership. You’re not beneath him; you’re beside him.

π‘πžπŸπ¨π«π¦ (@winstone_nnko) 's Twitter Profile Photo

Nitarudia hili mara nyingi kadri inavyowezekana β€” tafadhali dhibiti maisha yako ya kifedha kwa umakini mkubwa. Ukishafilisika, msaada unakuwa adimu sana. Ni ngumu sana kupata msaada ukiwa huna kitu.

π‘πžπŸπ¨π«π¦ (@winstone_nnko) 's Twitter Profile Photo

Hebu imagine, huku ndiko tumetoka β€” halafu leo kuna mtu anataka tuanguke tena bila sababu yoyote. Watu wengine wametoka kwenye mazingira magumu sana kiasi kwamba hata adui yao hawatamani kumwona akiishi maisha waliyoyapitia.

Watu wa gas, mbona hamkutuambia kuwa hilo ni bomu mnatuuzia lisikae ndani? Kwa hiyo mnataka tulipuke au? Sisi watu wa humble beginnings tutaweka wapi mtungi wa gas? Ukitoboa nyumba ya mdosi anakufukuza, akikubali mtungi unaibiwa… Kutokuwa na pesa ni hatari sana 😎.