Enjoy Football 🌴🏆 (@wilsonjuma08) 's Twitter Profile
Enjoy Football 🌴🏆

@wilsonjuma08

I know nothing // GGMU

ID: 1587356827938848768

calendar_today01-11-2022 08:12:45

36,36K Tweet

4,4K Followers

2,2K Following

Alex debrizy👑 (@alex_komba00) 's Twitter Profile Photo

MIUNGU ni mwema tumeamka salama kwa neema na baraka zake🙏, Naomba Rt yako familia 🤝, Jipatie simu kali ya iphone kwa gharama nafuu kutoka kwa Power tech Tz tunapatikana mtaa wa kariakoo uhuru na likoma📍 Contacts: +255 755 148 581.

MIUNGU ni mwema tumeamka salama kwa neema na baraka zake🙏,

Naomba Rt yako familia 🤝,
 
Jipatie simu kali ya iphone kwa gharama nafuu kutoka kwa Power tech Tz tunapatikana mtaa wa kariakoo uhuru na likoma📍

Contacts: +255 755 148 581.
ISMAIL✨ (@mofey255) 's Twitter Profile Photo

Mtu nimempa namba yangu tangia jana mpaka leo hajanitafta kama alikua hataki si angesema mapema sisi maskini tunabaguliwa sana 🥹🙃

Mtu nimempa namba yangu tangia jana mpaka leo hajanitafta kama alikua hataki si angesema mapema sisi maskini tunabaguliwa sana 🥹🙃
Désiré Doué (@mzawa_) 's Twitter Profile Photo

Namshukuru Mungu nimeamka salama na mzima kabissa wa afya. Tuwaombee na ndugu zetu wanaopitia magumu kwa Sasa. Good morning Gen Z.

Namshukuru Mungu nimeamka salama na mzima kabissa wa afya. 

Tuwaombee na ndugu zetu wanaopitia magumu kwa Sasa. 

Good morning Gen Z.
Alex debrizy👑 (@alex_komba00) 's Twitter Profile Photo

Sio kwamba sina hela ya kula au sina chakula magetoni ila now inaenda wiki ya pili nikishakunywa chai asubuhii mchana si feel njaa kabisaa shida itakua nn wataalamu 😢😠.

Enjoy Football 🌴🏆 (@wilsonjuma08) 's Twitter Profile Photo

Kuna demu nilikuwa namfuatilia kitambo, ila sijawahi mtongoza, jana usiku napita zangu chocho mtaani huku, nakutana nae nashangaa ananikumbatia 🙆🏽‍♂️ Mpaka saizi sielewi nifanyaje na hakusema chochote.

Désiré Doué (@mzawa_) 's Twitter Profile Photo

Kitu ambacho nimekiona kwa Amorim na binafsi nimekipenda ni kwamba jamaa haitaji kutengeneza "best first eleven" ila yeye anachofanya ni kutengeneza "The right eleven" kulingana na mpinzani, uwanja aliopo na kwa wakati husika Nini anahitaji. We need a system and not BEST XI. 🧠

Kitu ambacho nimekiona kwa Amorim na binafsi nimekipenda ni kwamba jamaa haitaji kutengeneza "best first eleven" ila yeye anachofanya ni kutengeneza "The right eleven" kulingana na mpinzani, uwanja aliopo na kwa wakati husika Nini anahitaji. 

We need a system and not BEST XI. 🧠
Alex debrizy👑 (@alex_komba00) 's Twitter Profile Photo

Kwan vijana wenzetu tena wadogo tuu ki umri wanatoa pesa wapi mamiyake huyo jamaa anaitwa Kenyan prince last week kamzawadia mpenzi wake BMW au wenzetu ni ma freemason 😂🙌

Kwan vijana wenzetu tena wadogo tuu ki umri wanatoa pesa wapi mamiyake huyo jamaa anaitwa Kenyan prince last week kamzawadia mpenzi wake BMW au wenzetu ni ma freemason 😂🙌