Habari yako mwanangu, ni imani yangu upo salama huko mjini!
Natamani nikusalimie kwa ki-lugha chetu, ila hofu yangu hautanijibu kwasababu si kitu unachojivunia tena ukiwa katikati ya kundi la wasomi wenzio.
Bashiru alinionesha picha zako ulizopost mtandaoni ukiwa kwenye gari👇