AliciaK (@wangari1296) 's Twitter Profile
AliciaK

@wangari1296

Here for fun.

#manchesterunited

ID: 1860181969943818240

calendar_today23-11-2024 04:42:27

1,1K Tweet

218 Followers

136 Following

AliciaK (@wangari1296) 's Twitter Profile Photo

Kuna boy alikua ananipenda vibaya sana,,like he would do anything for me,, lakini c mnajua tu,,""anayekupenda humpendi unapenda mwingine ambaye hakupendi," 😭😭I was stupid not to see that

AliciaK (@wangari1296) 's Twitter Profile Photo

Kwani ukikaa how long bila kutumia your saf line ndio wanapea msee mwingine?,,yangu imekaa only last year,,sai nimesema nijaribu kucall na mwanaume anashika

AliciaK (@wangari1296) 's Twitter Profile Photo

This life no balance,,chenye wewe hutaki ndio chenye mwingine anahitaji zaidi,,i.e wewe hutaki mtoto,na kuna mwingine amefanya everything possible just to get a child