
Kakinda Ka Punda
@vuchamangofi77
Still Breathing
ID: 1869736576143794176
19-12-2024 13:28:59
439 Tweet
14 Takipçi
163 Takip Edilen

Alisema mlevi mmoja tu ambae pombe imeshamdhibiti Dizasta Vina

Utaigiza furaha kwa kunywa bia za mashabiki Dizasta Vina

Asante kwa kunilea vyema mama Dizasta Vina

Wanasema nilipenda bila tija Dizasta Vina

Nilikupenda peke yako sikujua mingo Dizasta Vina

Punguza mwendo wengi walijifia kwa haraka Dizasta Vina


Wee ni Winnie Mandela Sofia Gandi Dizasta Vina


Kama umeamua kuwa mfu mzuri shurti ulipende kaburi - tuliza Ball remix Falsafa Baba! ft Kasiri


Wanasema tomorrow is a mystery wanasema tomorrow leo zawadi ikumbatie jana ni history Dizasta Vina Fans of Dizasta🦅


Kuwa na imani ili amani ipate nafasi mchunge mwana wa jirani asidanganywe na fataki #Hisia #AchievingGreatnessTheAlbum


Sisi jee nyie ndiyo Tom ok mnajiona Hilfiger eeeh ? Kisa mna money na power nnatuona mabwiga mtaani kuna njaa paka achana na sisi ...#NIPENI_MAUA_YANGU💐

Nikaanza gonga nyagi kuondoa maweruweru #NIPENI_MAUA_YANGU💐


Unazaliwa kwenye familia duni ya kifukara #NIPENI_MAUA_YANGU💐


